Natafuta tenda ya ku-supply mayai Dar es Salaam

shuky01

Member
Feb 25, 2014
15
20
Habari wana JF

Kwa yeyote anae tafuta mtu wa ku-supply mayai kwamatumizi ya mahotelini,vibanda vya chips, duka, au hata nyumbani tuwasiliane. Bei yangu ni poa sana 7500/= Kwa tray.

Tenda ya kuanzia tray kumi utapata disscount. Ukihitaji kufikishiwa mzigo ulipo pia tunaweza kukuletea.

Piga namba 0712384084
 
Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Kwanini hupeleki kwa mawakala sokoni mfano Ilala bei zao ni hii hii au wamepunguza?
Habari wana JF
Kwa yeyote anae tafuta mtu wa ku-supply mayai kwamatumizi ya mahotelini,vibanda vya chips,duka, au hata nyumbani tuwasiliane Bei yangu ni poa sana 7500/= Kwa tray. Tenda ya kuanzia tray kumi utapata disscount. Ukihitaji kufikishiwa mzigo ulipo pia tunaweza kukuletea. Piga namba 0712384084
 
shuky01

Member
Feb 25, 2014
15
20
Hiyo ya kupeleka kwa mawakala sijajaribu. naomba unijuze uwa inakuaje kuaje. Pia kama utaweza kunisaidia namba ya wakala mmoja nimtafute utakuwa umenisaidia sana mwana JF mwenzangu
 
shuky01

Member
Feb 25, 2014
15
20
Kwanini hupeleki kwa mawakala sokoni mfano Ilala bei zao ni hii hii au wamepunguza?
Hiyo ya kupeleka kwa mawakala sijajaribu. naomba unijuze uwa inakuaje kuaje. Pia kama utaweza kunisaidia namba ya wakala mmoja nimtafute utakuwa umenisaidia sana mwana JF mwenzangu
 
RE4ER

Member
Jan 16, 2014
8
0
Mkuu ww upo dar sehemu gani? na kama mtu akihitaji tray 50 bei inakuwaje?​
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom