Nafasi za Afisa Ugavi

Nafasi za Afisa Ugavi

UNLOCK

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
268
Reaction score
37
Hivi serikali inatoaga ajira kwa wa2 hawa kama ndio mbona cjawahi sikia na pia nitazipataje maana nipo mbioni kumaliza kozi yangu ya afisa ugavi.
Ahsantee.
 
Uje kwa ulimwengu halisi wa kitanzania karibu sana. More expectation more stress
 
Wewe ni afisa ugani au ugavi maana sijaelewa, kama ni ugavi basi usijal kaz zitatoka moja moja, post moja mnaitwa mtu mia sita.
 
Duh andaa kujiajiri ugavi wamekua wengi sana duh ugavi ingekua ugani heri
 
Wale wote walio vyuo mtaani kuko tofaut na tunavyokuona tukiwa chuo, ni kugumu aisee kama huna wa kukushika mkono, soma kwanza umalize kwan kumaliza tu chuo kwa baadh ya vyuo ni kazi tosha.
 
Umenikumbusha Mzumbe University main campus. Kazi ilikuwepo na nikaimaliza vyema
 
Ndug yangu kuna wajiri wanaopenda kuajiri kutokana na uwezo wa kumlipa muhusika.
So inawezekana nikapa ajira kabla yake.

Mkuu unlock ni hivi ukimaliza shule ya ugavi sio lazima ufanye kazi ya professional yako. Pili idadi ya watu ni wengi kuliko ambao wanahitajika yan demand kubwa kuliko supply ya labour. Kuna watu ni degree holder wako freelancer, teamleader mambo ya masoko, alaf now days inabidi uwe na mtu wa kukushika mkono, mfano tulifanya interview ya PPRA nafasi ni 4 Tulioitwa kwa interview ni watu 320, oral waliitwa 20 wanataka watu wa 4 Tu kati ya hao 20. Sasa mkuu unasema salary wakati hata sehemu ya kujitolea tu ni ngumu kuipata sijui nikueleweshaje mkuu. Lakin maliza chuo alafu njoo mtaani ujionee mwenyewe.
 
Nashukuru m2 wangu.
 
Back
Top Bottom