Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Akizungumza jana bungeni,katibu mkuu kasema serikali itaanza kutoa ajira kwa wale waliopitia JKT tu sababu hao ni wazalendo....hv uzalendo na nchi ni mpk upite JKT?..viongoz wa sasa waliopita JKT...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani humu ndani ukiona tangazo la nafasi za kazi basi mwenzangu na mie wa kuishia Form 4 na huna hata diploma yoyote basi ujue HALIKUHUSU. Maana naona matangazo ya kazi humu yanawahusu sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu yangu ni o'level pia nina ujuzi wa computer natafuta kazi nipo dar kwa mawasiliano zaidi 0763 631527
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POSITION DESCRIPTION: CPP Photo studio situated in Kinondoni District, Dar es salaam is engaging in business of photography and videography. It is growing...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jameni hizi kazi zinahitaji elimu gani, Coz kuna kampuni ya cement iko kisarawe imetangaza kazi, mojawapo ni hizo........ Nenda zoom kwa maelezo zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepigiwa cmu na kampuni moja inaitwa transevent co ltd kwa ajili ya interview lkn cna kumbukumbu km nilishaomba kazi kwao,km kuna mtu anajua lolote khs hii kampuni ili niweke kumbukumbu zangu sawa
0 Reactions
0 Replies
959 Views
habari za kutwa wadau tukiwa kama waajiriwa kuna haki za msingi ambazo zinastahili kufuatwa kwa pande zote mbili yaani muajiri na muajiriwa ikiwa haki hizo zinafahamika. swali lang ni hili:ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF,naomba tujuzane pindi nafasi za jeshi zitakapotoka pamoja na sifa za kwenda uko jeshin pia ua zinatoka kila baada ya mda gani asante sana
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Mimi ni mwalimu wa kufundisha English Medium kwa level ya primary, Kwa yeyote anaye jua shule yenye nafasi maeneo ya meru na arusha mjini naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello wana jamii mwenye update za kuitwa kwa interview kwa posts zilizotangazwa april 2014 atujuze hapa maana kimya kingi au walishaita? na kulikuwa na posts nyingi tu
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwa wale tuliofanya aptitude test last week, kuna yoyote mwenye updates zozote. Wanaita lini second interview?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale walofanya Oral interview Umoja switch pale kijitonyama, vipi kuna mtu kashaitwa kuanza kazi? Maana walituambia majibu ni baada ya wiki 2 pia watatoa taarifa kwa wote kama umepata au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu bila hata ya kuwa na sehemu ya kujishikiza hatimaye Mungu amejibu maombi yangu kwa kunipatia kibarua ambacho kitaniwezesha kupata mkate wa kila siku. Kweli...
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Nime graduate mwaka jana na nina matokeo ya kuridhisha pia mwaka jana huohuo nikaonganisha na mitihani ya CPA (T) kwa sasa nasubiria matokeo ya mwisho ya final stage mwezi huu. Hivyo najaribu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kampuni inatafuta wafanyakazi wafwatao agently, plant operator,electricians,maintainance, safty officer,fire fighters,crane operatours, weighbridge na instrument technichian. Kama una...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nipo tayari kufanya kazi yoyote Dodoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari mi nna swali hivi ukitaka kuacha kazi mahali let say mkataba unaisha August 2014 ukaamua kusitisha mkataba leo kwa kutoa 24 hours je ni kweli utahitajika kumlipa huyo mwajiri kwa...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Assalam aleikum Medecins Sans Frontieres au madaktari wasio na mipaka wanahitaji wafanyakazi kwa kada mbali mbali gonga link hii hapa Urgent recruitment | Médecins Sans Frontières (MSF/Doctors...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi I love sharing what I know, please allow me to share what I know from my experience about job seekers/applicants. May be you have been applying for jobs but you have not been called for...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom