Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanahitajika graduate Qs's. Mawasiliano 0784 36 78 36 Thanks
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
2 Reactions
247 Replies
29K Views
Kama kuna yoyote anayejua wap kunakibarua cha kazi nijulisheni nahtaji
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari....nimeitwa kwenye usaili post ambazo ziliwekwa hapa jamii forum kwa ajili ya teaching kwenye hiyo shule iliyopo mwanga-kilimanjaro... aliyewah fanya kazi,au usaili pale au...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau kwa wale waliokuwa wanasubiri TAMISEMI iwapangie vituo kwa awamu hii. Hapa chini kuna Tangazo la mwisho wa kuripoti vituoni na orodha ya majina Angalia jina lako kwenye viambatanisho hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina level two ya ELECTRICAL INSTALLATION wana jf naomba mnisaidie natafuta kibarua popote pale naweza kufanya . .
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Natafuta msichana wa kazi niko Dar kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima mbele wadau, Naomba kujuzwa hii benki ya CRDB Plc wanachukua watumishi kuanzia GPA ya ngapi. Toka nimalize chuo napeleka CV tuu kila siku. Wana CV zangu zaidi ya kumi. Lakini kila uchao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mlokwepo ukonga kwenye oral interview uhamiaji naomba mtuambie yaliyojiri huko mimi nilichekechwa taifa
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nawasalimu wanajamvi!,niliwahi kuweka bandiko humu nikitafuta kazi sikufanikiwa!.Naomba jamani munisaidie kazi nami niweze kusurvive dunia hii maana bila naona maisha hayaendi. Me ni( me)Nina ba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kujua wahasibu wa hotel kubwa kama Dom hotel,Tabora hotel,hotel za Veta nk,wa elimu ya shahada wanalipwa sh ngapi?,natangulza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Wasalam wapendwa Si kwamba nimechanganyikiwa, hapana. Naona kama nachelewa kutimiza malengo yangu na kazi niliyo nayo ni ya kuajiriwa na ofisi zake ni vijijini. Kwa miaka 10 nimekekuwa...
10 Reactions
90 Replies
15K Views
cheki website ya tamisemi fasta,
0 Reactions
2 Replies
5K Views
.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hello JF, Thank you to everyone who applied to my last post for a job, lakini the quality ya kazi and effort was not satisfactory, so i am posting again, i am looking for professionals, i have...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu,. Kuna ndugu yangu ameitwa katika usaili tarehe 26 mwezi huu Dar es salaam,. Yeye kajiajiri katika biashara ndogo ndogo ambazo zinampatia riziki siku zinaenda. Naomba kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
From Mwananchi of 23rd June Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero anawataiqazta wananchi wote wenye sifa, nafasi wazi 9 za kazi. Nafasi hizo nl;- Dereva Daraja II -...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
vijana tunatakiwa tuwe na moyo wa kujituma na kujiajiri sisi wenyewe tukiitegemea serikali tutakufa bila ajira kwani:A S-eek: mambo ni magumu mtaani si mchezo mimi ndo uhauri wangu huo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anahitajika Housegirl wa kuishi hapo hapo mwa mwajiri. Awe na miaka 18 na zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema wadau.vp kuhusu nhif jamani. Wanaita lini watu kazini.tujuzane wadau nini kinaendelea
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom