Natafuta shule ya medium ya kufundisha Jiji la Arusha

Natafuta shule ya medium ya kufundisha Jiji la Arusha

magie92

New Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Mimi ni mwalimu wa kufundisha English Medium kwa level ya primary, Kwa yeyote anaye jua shule yenye nafasi maeneo ya meru na arusha mjini naomba anijuze
 
Mimi ni mwalimu wa kufundisha English Medium kwa level ya primary, Kwa yeyote anaye jua shule yenye nafasi maeneo ya meru na arusha mjini naomba anijuze
Kama upo mjin kati panda Hyce za Ngulelo na ushukie ngulelo then chukua pikipik hapo stendi umwambie mwendeshaji akupeleke mpaka IKIRWA SCHOOL ipo kama Km 6 kutoka Ngulelo kuelekea safu za mlima meru. Nauli ya bodaboda isitoe zaid ya 2500/= Karibu mwalimu
 
mi ni mwalimu wa nursery ninauzoefu wa miaka 2. ufundishaji wangu ni wa stail yake. natoa mwezi mmoja wa majaribio. means i work 1 month as a volunteer. ukiridhika na ufundishaji wangu. we talk. please if in need let me know
 
Back
Top Bottom