Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

PPF wameanza kupiga simu
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Please see attachment, read carefully and apply with confidence. Please do not apply if you do not meet the requirements.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nida ajira zao zikoje huwa wanatangaz au plz anayejua naomb anijuz
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Yawezekana unatamani kujifunza kuhusiana na mbinu za utajiri na mambo yatakayobadili maisha yako. Huenda umechoshwa na suala la kuzunguka na bahasha ukitafuta kazi, unaona ni afadhali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii hali ilivyo bila kuionesha serikali how serious the situation is itakuwa ngumu kueleweka,kuna mambo ya msingi ambayo tunaweza kuishinikiza serikali ifanye ili itukwamue walau sisi tuliomaliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu pamoja na hayo natanguliza shukurani,naomba juzwa utaratibu unaofuata ikiwa nimetumiwa barua ya ajira kutoka Capital Oil and Gas industry limited ya Nigeria ikijieleza kuwa kuwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JF, kwa anayehitaji dereva awe ni mtu binafsi, na yasiwe magari ya biashara, anapatikana muda wowote, kwa namba 0789575784,
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dear Applicants, First of all, on behalf of Viettel Tanzania (Viettel), I would like to send the greeting to you and thank you for your application (CV), which sent to Viettel. I would like...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
A good researcher with rich experience in data collection tools is searching for a job.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana JF! Mimi nimemaliza BBA , natafuta nafas ya kujitolea Mahal popote bila malipo, ili niwe na experience! Pls naomba mnisaidie.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
jamani kuna baadhi ya ofisi na makampuni ukiingia unakutaa watu wa jamiii au kabila la watu fulani unawakuta wako nafasi kubwa yaani wapo wengi katika hiyoo ofisi ... Ivii ni kweli mwajiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo kulikuwa /kunainterview inaendelea kurasini. Ili kuwapa nafasi kwa wale ambao hawana ajira,leo jamaa wana computer unaulizwa kama umeajiriwa au lah.Kama ukikataa kama hujaajiriwa wanaingiza...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
msichana wa kazi anahtajika niko morogoro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani,naulizia mtu yeyote mwenye kujua upatikanaji wa zile ajira za kubeba mizigo Bandarini au airport ama pengine kazi za viwanda vidogo kama vya juice,biscuit au vya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf, mi ni dereva ninahitaji Gari ndogo kama SUZUKI 4wd kwa shughuli ndogondogo kw wanaokodisha mawasiliano yangu ni 0714306015 natanguliza shukrani!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wiki iliyopita kulitokea kitu ambacho kiliibua hisia za watu wengi sana. Idara ya uhamiaji iliita waombaji zaidi ya elfu kumi(10,000) kwenye usaili wa nafasi za ajira zipatazo sabini(70)...
13 Reactions
40 Replies
11K Views
Habarini wakuu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha IAA nasomea Bachelor Degree of Economics and Finance mwaka wa kwanza kwenda wa pili. Kwa sasa hivi tupo likizo ya takriban miezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mwenye update kuhusu post ya HR COET atujuze kinachoendelea coz walisema mwisho wa mwezi june wataita intevyuu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari zenu,nina uzoefu mdogo wa kufanya kazi bank kama intern wa Cash &ATM custodian kwa miez 4,ktk bank fulani hapa town.kama 2juavyo mara nyingi ukiwa intern ni rahisi kujiriwa ktk bank...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
nafasi ziko nyingi za kada mbalimbali tembelea www.ajira.go.tz
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Back
Top Bottom