Natafuta kazi

Natafuta kazi

Kamili Tz

New Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Elimu yangu ni o'level pia nina ujuzi wa computer natafuta kazi nipo dar kwa mawasiliano zaidi 0763 631527
 
Kama una laptop au desktop tafuta eneo lolote la kuweza kuweka meza simple kwenye sehemu zenye watu wengi weka tangazo unaingiza nyimbo ,antivirus na software installation utatoka ukiwa serious vinaonekana vitu vya kizembe ila vinalipa kaka jaribu hilo bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom