Kwa wale walofanya Oral interview Umoja switch pale kijitonyama, vipi kuna mtu kashaitwa kuanza kazi? Maana walituambia majibu ni baada ya wiki 2 pia watatoa taarifa kwa wote kama umepata au umekosa but naona kimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.