msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,739
Assalam aleikum
Medecins Sans Frontieres au madaktari wasio na mipaka wanahitaji wafanyakazi kwa kada mbali mbali gonga link hii hapa Urgent recruitment | Médecins Sans Frontières (MSF/Doctors Without Borders).
Hawa jamaa nimefanya nao kazi sehemu mbali mbali Tanzania na nje ya Tanzania kwenye emergencies ni wazuri na ni responsible employer.
Nimewahama mwaka huu mwezi march (sio kwa ubaya) jaribu bahati yako karibu humanitarian world.
Niliahidi kushare ninashare nitashare Insha Allah