Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi nilishawahi kusema nitafanya ujasiriamali baada ya kupata kazi na ndoto yangu itatimia muda si mrefu. Watu wengi wanasema graduate ni wavivu wa kufikiria lakini ukweli ni kuwa,ujasiriamali...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa la matapeli katika ajira huku wakitumia mbinu mpya na teknolojia mpya kila uchao, MATAPELI hawa wanatengenezwa na wafuatao. 1.SERIKALI. Serikal yetu haina sera na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani msikae mbali na simu NHC wameanza kuita zile nafasi za mwezi wa nne
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Analyst/Programmer Reputable IT Company is looking for a resourceful, results-driven analyst/programmer. As a member of our team, your responsibilities will include: - Designing and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwayeyote anayejua shule ambazo zinatafuta walimu hasa wa masomo ya sayans
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna hawa jamaa Matapeli wamejitangaza kama Employers kwenye hii website ya 3Wjobs.com kwa kutumia jina la Kampuni moja maarufu inayochimba madini hapa nchini. Kuna nafasi za kazi zimetangazwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Napenda kuishukuru JF kwa kunipatia kazi mpya. Sasa mwenzenu nilikua na kazi ambayo nilishaichoka, kiasi chakuanza tafta zingne. Nilifanya maombi mbalimbali ya kazi na kufanya usail mara nne...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kipindi ukiwa chuo unakuwa unajipa, hope, baada ya miaka mitano nikimaliza chuo nitakuwa na maisha mazuri sana! Kumbe baada ya miaka mitano unakuwa bado hujapata ajira tokea umalize chuo ni...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
WAHANDISI NA FUNDI MCHUNDO KAZI KWENU CHANGAMIKIENI HIZO TANZANIA PETROLEUM DEVELOPMENT CORPORATION CAREER OPPORTUNITIES Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National Oil...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Vipi watu waarusha vibarua huku vinapatikana wapi sehemu ambayo unaweza ukapata hata elfu 5 za fastafasta
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamke umri miaka 23 ninatafuta kazi yoyote ili niweze kupata pesa ya ada nimalizie masomo yangu chuoni kwani hela niliyokua nayo imeisha. Na sina ndugu mwenye uwezo hata mmoja wa...
1 Reactions
0 Replies
883 Views
From Mwananchi of 23rd June Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero anawataiqazta wananchi wote wenye sifa, nafasi wazi 9 za kazi. Nafasi hizo nl;- Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Please find as per attached doc.
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Teaching position Aga Khan primary service 1. SEN Coordinator/Learning support 2. School Counselor Aga Khan Secondary School 1. SEN Coordinator 2. School Counselor 3. NECTA, IBDP, & IGCSE...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesomea Socilogy, my number +255758282832. Kama unahitaji mfanyakazi wa fani yangu waeza nicheki kwahiyo namba yangu. Nipo Mwanza.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namtafuta kinyozi mahali ni Babati mjini kwa wale wakazi wa Babati fursa hiyo ani pm then tutaelewana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo serikali yetu sikivu imetoa tamko maridhawa kabisa, kwamba hakuna tatizo la ajira hapa nchini mikazi na mifursa kibao. Ni kwamba tatizo linakuzwa tu na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau mimi ni mwalimu wa physics na chemistry nina degree science with education from UDSM. Natafuta kazi kwenye shule za private maeneo ya Dar, Pwani na Morogoro. Uzoefu miaka mitano...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Members nimeitwa interview kesho chuo cha Ardhi(UCLAS) post ya Planning Officer, naomba mwenye kujua interview zao please tusaidiane
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya clearing and forwarding, au kazi nyingine yoyote kwa muda huu nmechoka kukaa nyumban 0712196525
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom