Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Wana JF,naomba tujuzane pindi nafasi za jeshi zitakapotoka pamoja na sifa za kwenda uko jeshin pia ua zinatoka kila baada ya mda gani asante sana
tafuta nafasi uende JKT ndipo wanapochukuliwa huko hapa utasubiri sana labda mpaka yesu arudiWana JF,naomba tujuzane pindi nafasi za jeshi zitakapotoka pamoja na sifa za kwenda uko jeshin pia ua zinatoka kila baada ya mda gani asante sana
Sasa mkuu hapo ungesaidia kwa kusema ni lini nafasi za JKT zinatoka..tafuta nafasi uende JKT ndipo wanapochukuliwa huko hapa utasubiri sana labda mpaka yesu arudi
Ulikuw awapi wakati wenzio wanakwenda JKT last intake au ulikuwa unasubiri KAZI Uhamiaji?
Jkt mwezi wa 10 jiandae
poa mkuu jinsi ya kuomba ni vp?
poa mkuu jinsi ya kuomba ni vp?
Dah hay a mambo kweli hayana formula, juz mkuu wa jkt alikuja kambin kwetu akatukata main coz kuna wenzetu wanamaliza mikataba yao na wanarudi nyumban, miaka 2 for nothing.
Dah hay a mambo kweli hayana formula, juz mkuu wa jkt alikuja kambin kwetu akatukata main coz kuna wenzetu wanamaliza mikataba yao na wanarudi nyumban, miaka 2 for nothing.
duh,inamaana hamna aliyechaguliwa kwenye usaili waliofanya wa kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania?mpaka warudi nyumbani