Ndoto zangu tangu mdogo nikuwa photogenic superstar naipenda sana kazi hii... Naomba kama kuna uelewa kuhusu wapi ntaweza kutimiza ndoto zangu kimuonekano nipo vizuri please contact me via...
Habar Wana JF
Ndugu zangu niko hapa kuomba ushauri utaonipa mwanga wa maisha yangu. Baada ya kuhangaika hatimaye nilibahatika kuajiriwa mamlaka ya bandari.
Nilipata barua yangu ya ajira na...
MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL
VACANCIES ANNOUNCEMENT
( RE- ADVERTISED )
1.0. MEDICAL SPECIALIST II (34 POSITIONS)
1.1 Reports to:
Head of Firm
1.2 Duties and Responsibilities

To provide...
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha nne kwenye masomo ya biashara, kama kuna anayehitaji muuza duka nipo vizuri sana. Mawasiliano yangu ni 0756525889 ASANTE.
Natafuta kazi dar kati ya hizi, muuza duka au secretary. Nina ujuzi wa hali ya juu na kazi hizo naomba kwa mwana jf atakayeliona tangangazo langu amwambie na mwenzake. Mawasiliano yangu 0756525889...
Habarini wakuu, Nahitaji mfanyakazi (mwanamke) wa kuuza duka maeneo ya sinza. Awe na uzoefu wa kuuza duka, Sharti kubwa awe mkazi wa sinza au maeneo ya karibu na sinza.
natafuta msichana wa kazi/house girl .awe miaka 18 na kuendelea,awe msafi ,awe mwaminifu,asiwe na mtoto,asiwe na ugonjwa wa aina yoyote.kula kulala bure mshahara 40. hakuna mtoto mchanga wala...
Mimi ni mtanzania na graduate nimefanya utafiti wa kina na kupata sababu za graduate wengi kukosa ajira
1. Serikali ya Tz kuweka umri mkubwa wa kustafu hasa ukizingatia umri wa kuishi kwa maana...
Kutokana na Access Bank kutokuthamini wafanyakazi wake hasa maafisa mikopo benki ya Tanzania postal imeajiri wafanyakazi kibao kutoka Access.
Mtakao ajiriwa na Access Bank itumieni benk hiyo kama...
Mambo zenu wapendwa?nina jambo linanitatza,shemeji yenu ameajiriwa kama bank teller katika bank ya nmb,sasa ameniomba ushauri kwa maana ameitwa kwenye interview ya pili ya uhamiaji ikiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.