SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Yaani humu ndani ukiona tangazo la nafasi za kazi basi mwenzangu na mie wa kuishia Form 4 na huna hata diploma yoyote basi ujue HALIKUHUSU.
Maana naona matangazo ya kazi humu yanawahusu sana wenye madegree,madiploma na wenye uzoefu wa miaka kadhaa..
Tusaidiane basi na sie wenye elimu ya kawaida... Sio lazima kila mara mlete matangazo ya NMB sijui Uhamiaja wakati mwingine wekeni hata Kazi za kawaida ambazo hazihitaji uzoefu... Ili mradi iwe halali tu sisi mbona hatuchagui kazi bana kwa hiyo tufanyieni mpango...
Haya naanza mimi hapa.. kama kuna mtu yeyote ana kazi yoyote isiyohitaji elimu ya juu sana basi anisaidie tu jamani.. au mnataka vijana wote tuwe panya Road maana life gumu bora mtusaidie wenye elimu ya kawaida...
Najua MUNGU kashanibariki tangu aliponiumba ila huyu MZUNGU kuleta hizi elimu zake ndo imekua kikwazo cha kutofanikiwa kimaisha.. Basi mnisaidie na MIMI kidogo nipate kazi yoyote jaman.
Kwa alie tayari aniambie nimPM namba yangu tuwasiliane zaidi.
√√√√√√√