Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu Wakuu! Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha...
4 Reactions
1 Replies
182 Views
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope. Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo...
39 Reactions
217 Replies
7K Views
  • Redirect
Nakutengnezea scenerio jinsi mara zote inavyokuag Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo...
2 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
29 Reactions
369 Replies
5K Views
Kulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa. Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenzi. Sasa hivi nimeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati, kisa meseji...
6 Reactions
35 Replies
552 Views
Atakama hakukusomesha,ila kama angekutelekeza haungefika hapo ulipofika.mzazi wako ni wa maana pambana umtunze asiteseke ukiwepo. Mimi...
4 Reactions
21 Replies
332 Views
unamkumbukia mazuri,au unamkumbukia mabaya.
8 Reactions
64 Replies
1K Views
Wazee wenzangu wale tunaozunguka nchi mbalimbali na mikoa mbalimbali kuonja mbususu za aina aina, leo tiririka nami nikupe orodha ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na visu vikali Afrika. Utafiti wa...
9 Reactions
73 Replies
9K Views
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa. Ananilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
1. Mwanamke ni mcha Mungu,licha ya kuwa hasali dini na dhehebu lolote lakini anaamini katika Mungu. 2. Ananipenda, kunijali na anaipenda familia yangu pia. 3. Tangu nimuoe mwaka jana mwezi wa...
7 Reactions
49 Replies
635 Views
Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji. Sasa napenda kujua madhara yake...
3 Reactions
3K Replies
413K Views
Hivi hii imekaaje? Mke wangu ni mlokole, ananibania mno wakati wa show, anasema kushikwa kalio ni uhuni, yaani hata kupiga tule tukofi hataki. Sifuraii kabisa, yaani tunasex kama mazee ya miaka...
31 Reactions
136 Replies
10K Views
Wanawake weng wanalalamika kuwa saiv n vigumu kupata mwanaume anayekufikisha kilele cha mlima.wengi kweny tendo hawafurahii.Hiv wanaume tatizo liko wap mbn mnafel mtihani?
2 Reactions
23 Replies
321 Views
Nishasikia story za maisha ya watu waliokuwa wapenzi, baada ya kuachana. Mengine nimeshuhudia mubashara kabisa. Hivi mtu mnaachana, afu UNALIA, UNAMTUKANA mwenzako, UNAMCHUKIA!!!!!!? Kwanini? Me...
5 Reactions
45 Replies
538 Views
Viongozi wa kuu na wasomi wengi pamoja na watu wenye pesa wengi huoa wake wadogo sana wanao wazidi karibia miaka 20 kwa 50, kua wake zao pindi wenza wao wa mwanzo kuachana au kufa, kwa mfano mzuri...
2 Reactions
26 Replies
449 Views
Umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako. Umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio...
12 Reactions
260 Replies
3K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kutangaza Nia Kutangaza Nia "Mwangaluka wa mayo!" "Mwangaluka! Mhole mola?" "Mola duhu" "Mliho?" "Tuli mhola" Stanley alikuwa anaangalia kutoka dirisha la chumbani...
1 Reactions
34 Replies
17K Views
Wakuu, Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia...
6 Reactions
15 Replies
331 Views
Wakuu,naombeni kama utakuwa interested na mada tajwa hapo juu basi naomba tuwasiliane pm, wakati mwingine nakuwa bored, nina stress nikipata angalau mwanamke wa kuniliwaza nitafurahi sana...
6 Reactions
14 Replies
322 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…