Emily magnus
Senior Member
- Apr 7, 2026
- 194
- 353
Nishasikia story za maisha ya watu waliokuwa wapenzi, baada ya kuachana. Mengine nimeshuhudia mubashara kabisa.
Hivi mtu mnaachana, afu UNALIA, UNAMTUKANA mwenzako, UNAMCHUKIA!!!!!!?
Kwanini?
Me siwezi kufanya ujinga huo hata siku moja.
Unakuta mwanaume kabisa anamchukia na kumtukana mwanamke kisa wameachana!!!
Wengine hata wakichomolewa tu, wanachukia balaaa, matusi yatakayokwenda kwa huyo dada ni yakutosha.
Sasa kwanini uteseke hivyo enhee!!
Me binafsi Mwanamke tukiachana, akichonimolea au akiniacha. Me nitaomba tuwe tu marafiki wa kawaida basi.
"Apo hata mazoea yakizidi, akiileta/akijilengesha NAICHAPA kiroho nzuri".