Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto. Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata...
9 Reactions
25 Replies
632 Views
Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi Kijana huyu wa...
5 Reactions
8 Replies
224 Views
Huwa nashangaa mibaba mzima na mitumo yao na midevu na Mijimama mzima mijitu mzima ya hovyo. Kwa nyege zako umezaa watoto ambao hawakukutuma uwalete duniani kumbe inakuja kuwatesa tu. Sasa...
14 Reactions
83 Replies
991 Views
Kwa yeyote anayejua ufumbuzi wa changamoto yangu hii aniambie maana naenda kupotea.
6 Reactions
52 Replies
803 Views
Angalia historia za kuvuja kwa connection zote duniani na hapa nchini jamii itamsema vibaya mwanamke badala ya mwanaume. Mwaka 2008 dunia ilishuhudia kichupa kikivuja cha mjuba Ray Jay na Kim...
31 Reactions
107 Replies
2K Views
2014 niliingia kwenye uchumba na binti fulani katika yale mahusiano huyo binti nilimkuta ana mimba Kutokana na maelezo yake kwamba alifiwa na wazazi wake pia kutokana na maisha magumu na upweke...
12 Reactions
120 Replies
2K Views
Nina tatizo kubwa binafsi kwangu naona kama ni tatizo kubwa kwa sababu sikuwaga hivi. Kwasasa nina hali ya kutamani kila mwanamke, huenda mwingine akasema hiyo ndio sifa ya mwanaume kamili lakini...
7 Reactions
20 Replies
668 Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
22 Reactions
75 Replies
5K Views
Hakuna majibu utayasema nikakuelewa wewe mwanaume uliyeoa kwa hiari yako pasina kulazimishwa kwa aina yoyote Ile na pengine ukaomba na ufadhili wa ndoa yako tukakufadhiri na ukafanikisha harusi...
2 Reactions
16 Replies
272 Views
N:B: Mke wa mtu ni sumu, Hakujawahi kuwa na uhaba wa vipigo vizito wala vilainishi, I feel sad imekuwa sio mara ya kwanza wala mara mbili wake za watu kunifungukia wana matatizo nikidhani ni...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia NB, mke mmoja hatoshi
18 Reactions
127 Replies
2K Views
Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani. Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili...
5 Reactions
56 Replies
746 Views
Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania...
4 Reactions
25 Replies
643 Views
Unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje...
5 Reactions
45 Replies
891 Views
Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa...
23 Reactions
484 Replies
6K Views
Habari wana jamii, Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda. Maisha haya nimeyaanza...
10 Reactions
37 Replies
806 Views
Wangapi wamewahi kuwakomoa wasichana wakati wa kufanya mapenzi? Na mliowakomoa in which ways? Na nini sababu ipi iliwapelekea kukomoa?
15 Reactions
604 Replies
208K Views
Tupeane mbinu wakuu... Nisije nikakamatwa bure na mke wangu maana mchepuko wangu nikimwambia usiku mwema anazidisha charting,na mke wangu sema amelala,akiamka hapa sijui itakuwaje. Niambieni mbinu...
4 Reactions
17 Replies
352 Views
  • Redirect
Ndoa ni dhana potovu iliyo pitwa na wakati.Hata ndoa ukiangalia mazingira yake saiv haivutii. Ndoa n utapel unaotumika kulaghai watu kwan usipooa...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom