Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

N:B: Mke wa mtu ni sumu, Hakujawahi kuwa na uhaba wa vipigo vizito wala vilainishi, I feel sad imekuwa sio mara ya kwanza wala mara mbili wake za watu kunifungukia wana matatizo nikidhani ni...
1 Reactions
3 Replies
217 Views
Jinsi walivyo pendeza na kujikwatua utadhani hawana shida mguse sasa uone list ya bills atakazokupa utakimbia NB, mke mmoja hatoshi
18 Reactions
127 Replies
2K Views
Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani. Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili...
5 Reactions
56 Replies
746 Views
Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania...
4 Reactions
25 Replies
643 Views
Unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje...
5 Reactions
45 Replies
891 Views
Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa...
23 Reactions
484 Replies
6K Views
Habari wana jamii, Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda. Maisha haya nimeyaanza...
10 Reactions
37 Replies
807 Views
Wangapi wamewahi kuwakomoa wasichana wakati wa kufanya mapenzi? Na mliowakomoa in which ways? Na nini sababu ipi iliwapelekea kukomoa?
15 Reactions
604 Replies
208K Views
Tupeane mbinu wakuu... Nisije nikakamatwa bure na mke wangu maana mchepuko wangu nikimwambia usiku mwema anazidisha charting,na mke wangu sema amelala,akiamka hapa sijui itakuwaje. Niambieni mbinu...
4 Reactions
17 Replies
352 Views
  • Redirect
Ndoa ni dhana potovu iliyo pitwa na wakati.Hata ndoa ukiangalia mazingira yake saiv haivutii. Ndoa n utapel unaotumika kulaghai watu kwan usipooa...
1 Reactions
Replies
Views
Kwa masikitiko makuu Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna...
6 Reactions
42 Replies
834 Views
The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata...
21 Reactions
125 Replies
2K Views
Mara nyingi maadui zetu wakubwa hawaji na panga na bunduki. Wanakuja na tabasamu, na mikono ya kukumbatia. Yule unayemwamini hadi unampa siri zako za moyoni ndiye anayeweza kukuchoma kisu...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Jaribu kuwaza tu, umesomesha mchumba chuo, washkaji na ndugu walikukataza..maneno ya mtandaoni na ya wahenga yanayoonya kuwa mchumba hasomeshwi, uliyaona ni upuuzi tu.. ukaweka akili na moyo kwa...
35 Reactions
118 Replies
3K Views
ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi...
14 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu, Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia...
8 Reactions
87 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu! Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwema wote umu MMU? nipo free muda huu na nikajikuta nakumbuka mengi yaliyowahu kutokea kwenye maisha yangu... kaka ynagu natafuta ajira anatumia juhudi nyingi kuandika nyuzi katika kuwaamsha...
4 Reactions
1 Replies
182 Views
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope. Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo...
39 Reactions
217 Replies
7K Views
  • Redirect
Nakutengnezea scenerio jinsi mara zote inavyokuag Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom