Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana Jf, Kutokana maumivu nilionayo naomba niifupishe habari kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je, nitakua nimefanya makosa? Maana mtu unapokua kwenye uhusiano na mwenzi wako...
25 Reactions
457 Replies
78K Views
Nikiwa naelekea kula usiku huu wa sa 1,ghafla ikanipita gari aina ya V8 mpya hivi ikielekea njia ya hostel, muda narudi nikashuhudia yule msichana white mkali akifungua mlango wa V8 na kuingia...
43 Reactions
353 Replies
47K Views
Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake...
5 Reactions
172 Replies
2K Views
Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
13 Reactions
80 Replies
5K Views
Wahenga walisema “Mujini shule”. Usipoishi mujini kwa akili, utapata taabu sana. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya kupata changamoto ya ndoa, mke wa rafiki yangu...
15 Reactions
55 Replies
2K Views
Haijalishi mpenzi wako wa kiume au wa kike ana nuka mdomo, ana bacteria ambao wengi ni ngumu kubaini, meno yameoza, meno yana rangi ya kuoza ila hayajaoza, wengine hucheka kwa mapozi huku wakiwa...
3 Reactions
147 Replies
12K Views
Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa...
18 Reactions
309 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo, usichepuke kulinda heshima ya ndoa yako.
5 Reactions
15 Replies
216 Views
Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ? Lakini katika maono ya siku...
6 Reactions
24 Replies
448 Views
Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee. Ila alipokuwa njiani...
5 Reactions
234 Replies
13K Views
Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni Changamoto ya kiazi kikubwa lazima ukikatekate jambo ambalo linapoteza muda na mara...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni...
5 Reactions
14 Replies
398 Views
Hamjambo! 1. Wengi wanaosema mapenzi na mahusiano hayana formula Kwanza ni waongo. Lakini pili ndio haohao wanaoteseka na mapenzi na ndoa. 2. Mapenzi na ndoa ma mahusiano yoyote unayoyajua Yana...
2 Reactions
0 Replies
281 Views
“Kuna siku nishamkuta dada angu kainamishwa na msela akiwekewa mpini ile kitu sijawahi kuheal mpaka leo bahati nzuri ndo kamuoa kubabeki siendagi kwao kabisa 😂👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦” Oyaaah acha...
21 Reactions
98 Replies
2K Views
Kwa nini mwanaume asipooa wala kuwa na mtoto anateseka uzeeni hata kama ni tajiri
2 Reactions
14 Replies
259 Views
IMAGINE Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
Are roles reversing or are men just adapting? Siku hizi unapata mwanaume ako nyumba, anasema “I’m planning,” while mwanamke ndio anachapa kazi, analipa rent, na bado anapika. Swali ni — hii ni...
4 Reactions
19 Replies
309 Views
Hamjambo Wote! 1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa. 2. Wanaume wote ambao uliwahi...
7 Reactions
50 Replies
1K Views
Huwezi hangaikia mwanamke. Kumfukuzia au yeye akuzungushe. Na ukiwa naye huhitaji kumfanya mpaka amalize. Ukimaliza wewe mwenye uhitaji inatosha. Sisi wenye pesa na mvuto mwanamke anamaliza kwa...
3 Reactions
4 Replies
266 Views
Nikajua tu tayari nimeshamtia mimba bila kuratajia.
3 Reactions
27 Replies
374 Views
Back
Top Bottom