Msisahau wazazi wenu?

Msisahau wazazi wenu?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,747
Atakama hakukusomesha,ila kama angekutelekeza haungefika hapo ulipofika.mzazi wako ni wa maana pambana umtunze asiteseke ukiwepo.

Mimi bora nilale njaa ila wazazi wangu hawawezi teseka nikiwepo.kama wangenitelekeza nikiwako mdogo ungekuta siipo.

Namin mzazi akitamka neno n baraka katika maisha.

Nawapenda sana wazazi wazazi wang na taifa langu Tanzania na chama changu pendwa CCM.
 
Huoni kama chama chako ndio kinamtesa mzazi wako zaidi ya wewe unavyomsaidia?
Kumamaaake MAGUFULI atakumbukwa alikuwa hataki usenge serikalini, kama nchi ungekuta atua ishapigwa

Sasa ni mala RUSHWA na mafisadi ndo yameshikilia nchi kumanina zao
 
Na vipi kama asingekuzaa si angekua kakupunguzia mzigo.
Wazazi wanapozaa watoto wajue na kuwatunza sio kuletana duniani na kutesa wengine kwa starehe zao…!!
 
Umeanza vizuri lakini kwa kumalizia bora nijikonyagilize mda huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom