Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,407
- 2,729
Kulingana na ukatil uliokidhir kwenye ndoa na mateso ndoa nazid kuiogopa. Wanandoa wanauana hovyo kisa wivu wa mapenzi.
Sasa hivi nimeamka jiran na mkewe walikuwa wanashikana mashati, kisa meseji ambayo mke ameikuta kwenye simu ya mumewe.
Imenbd nikawaamue wasije wakauana nikiwepo. Ila jaman haya maisha ya ndoa magumu, kila uchao sipati sifa njema ya ndoa ni baya tu ili jambo lazidi kunifanya niogope ndoa na kuamini kuwa ndoa ni utapeli.