Mbali ya ile kufumania/kufumaniwa.
Inatokea paap unamkuta mupenzi wako yupo na mwengine na wana furaha na mazungumzo yalionoga ila unapotokea wanajaribu kukuchangamkia na kukujumuisha kwenye...
Nahitaj mwanamke yeyote umri sichagui lakin usiwe mnene, kwa ajili ya kuridhishana kimapenz tuu, tutasaidiana panapowezekana.
Sihitaj mahusiano ni pale tunapohitajiana tuwasiliane tofaut na hapo...
Inasikitisha sana aisee,
Nowdays mwanamke akikuonesha kukupenda ama akikutamkia "nakupenda" usimuamini. Lengo lake anataka tu umpatie mkuyenge
Kuna binti alinionesha kunipenda nikaamua kuweka...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja maneno ya kila aina...
Kila mtu ana Zamani yake.
Zamani yenye kufarahisha na Kuleta kumbukumbu ya kujicheka mwenyewe samytimez.
Miaka yetu tunabalehe, vijisimu vya goroka ndiyo vilikuwa vinachangamka, wale watoto...
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa.
Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri.
Weekend moja moja...
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then...
Bwana wee! Leo nikiwa zangu geto nimechili baada ya pilikapilika za week nzima si ndio nikakutana tena na hiki kituko.
Ipo hivi hapa nilipo panga Kuna Binti ni pisi ya kwenda in general huyu...
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa.
Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo...
Hili swali naulizwa sana,
“nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa.
Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa.
Wengine wakaniambia
…haina haja ya...
Habari?
Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja.
Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi...
Kiroho sio Kisheria.
Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo.
Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo...
Habarini za muda huu wadau,
Niende kwenye mada, mimi ni mwanaume nimeoa, ila nimemuacha mke wangu kwa takribani Kama mwaka hivi sjawah kukutana nae, ingawa ana mtoto mdogo wa miezi kadhaa.
Sasa...
Naanza kwa kukazia "Ngono ni wajibu wa kutimizwa kwenye Ndoa..."
Ngono katika ndoa sio fursa. Mpenzi wako ana HAKI kwa mwili wako - kisheria na kibiblia, hivyo ni makosa kunyimana.
Tambua kuwa...
Wanandoa wenye furaha katika ndoa yao ni watu wanaoishi kwa ukaribu sana. Hapa sizungumzii kuhusu wale wa 'piga makalio kisha tufanye ngono.' Bali namaanisha wale wa kugusana kimwili mara kwa mara...
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa...
Sijakataa kuwa mwanamke ameumbiwa nyodo. Kwa utaratibu wetu wa bara la Africa, hata kama mwanamke amekuja gheto kwa nauli yake, ni lazima aoneshe ugumu katika kukupea tendo la ndoa, ile kukataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.