Hivi kwa hatua hii tulipofikishana, kuna uwezekano wa kupewa mbususu kweli!?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja maneno ya kila aina, pindi aliponipatia nafasi tu, niligandamizia misumali ikafikia wakati akakosa cha kujibu

Binafsi kuna muda huwa nashindwa kupata uvumilivu hasahasa pale mwanamke anapokuwa kwenye sexual appearance ya mavazi au mkao. Kuna siku nilijikuta nimemkamatilia kiuno huku nikimuimbisha. Alijibu kwa kucheka cheka huku akijaribu kuving'oa viganja vyangu vikivyosimikwa kiunoni kwake pasi na mafanikio, akaamua kuita mashosti wake kwa usaidizi zaidi. Akili kumkichwa, nikaona kwa utoto huu, hapa siwezi pewa mbususu

Siku mbili baadae nikamkuta akiwa anadeki huku akiwa ndani ya kanga moko. Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nimemvaa kiutani na kujaribu kuforce kumbato ambalo nilikuja kulipata dakika ya mwisho japo kwa mbinde. Nilipoforce nimpatie japo busu la shavuni, akarudia utoto wa kuita majirani kwa nguvu. Nikaamua kuzama kwenye chumba changu

Kesho yake asubuhi, huyu mwanamke aliamka na matusi ya kila namna kwangu huku akianza kunitishia habari za mumewe ambaye sijawahi hata kumuona. Nikaamua kumpotezea

Siku kama tatu mbeleni, huyu mwanamke akaanzisha mazoea japo nilipojaribu kujitutumua hakuhitaji kabisa niwe karibu yake. Mpaka sasa kaniacha njia panda wakuu. Ni kama vile anaelekea elekea, kila nikipiga hatua anajeuka.

Hapa kuna mbususu kweli au napoteza muda?
 
Kuna kesi ya ubakaji inakunyemelea na ushahidi kishaweka kwa muijbu wa andiko lako.

Unafahamu kwa sheria za Tanzania hata kumshika tu mwanamke bila ridhaa yake ni umembaka?

Uasherati na uzinzi ni uchafu, jiepushe nao. Tafuta wa kuoana nae muoane kihalali.
 
Hii ni chai na kama unachokifanya ni kweli huyo manzi unamdhalilisha sana (shambulio la aibu) na ubaya na yeye hajielewi ila ilibidi uwe ndani na ungelipa na fidia.
 
Mwambie ukweli aache kudhalilisha watu kwa udhaifu wake.
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja manebo ya kila aina, pindi aliponipatia nafasi tu, niligandamizia misumali ikafikia wakati akakosa cha kujibu

Binafsi kuna muda huwa nashindwa kupata uvumilivu hasahasa pale mwanamke anapokuwa kwenye sexual appearance ya mavazi au mkao. Kuna siku nilijikuta nimemkamatilia kiuno huku nikimuimbisha. Alijibu kwa kucheka cheka huku akijaribu kuving'oa viganja vyangu vikivyosimikwa kiunoni kwake pasi na mafanikio, akaamua kuita mashosti wake kwa usaidizi zaidi. Akili kumkichwa, nikaona kwa utoto huu, hapa hakuna cha mbususu

Siku mbili baadae nikamkuta akiwa anadeki huku akiwa ndani ya kanga moko. Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nimemvaa kiutani na kujaribu kuforce kumbato ambalo nilikuja kulipata dakika ya mwisho japo kwa mbinde. Nilipoforce nimpatie japo busu la shavuni, akarudia utoto wa kuita majirani kwa nguvu. Nikaamua kuzama kwenye chumba changu

Kesho yake asubuhi, huyu mwanamke aliamka na matusi ya kila namna kwangu huku akianza kunitishia habari za mumewe ambaye sijawahi hata kumuona. Nikaamua kumpotezea

Siku kama tatu mbeleni, huyu mwanamke akaanzisha mazoea japo nilipojaribu kujitutumua hakuhitaji kabisa niwe karibu yake. Mpaka sasa kaniacha njia panda wakuu. Ni kama vile anaelekea elekea, kila nikipiga hatua anajeuka.

Hapa kuna mbususu kweli au napoteza muda?
Okay, mapenz yana addiction so mara nyingi natumiaga iyo kama trap,
Fanya ivi, kuanzia leo
Usimtext kama hauna cha kumwambia, ajipiga simu pokea msikilize toa neutral voice inayo sikika, usicheke cheke kwa namna yoyote kuwa neutral tu,Usioneshe kama umechukia au kuna kitu unakitaka kwake tena kuwa neutral tu, Uone Mbusus utapewa kwa kulazimishiwa
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja manebo ya kila aina, pindi aliponipatia nafasi tu, niligandamizia misumali ikafikia wakati akakosa cha kujibu

Binafsi kuna muda huwa nashindwa kupata uvumilivu hasahasa pale mwanamke anapokuwa kwenye sexual appearance ya mavazi au mkao. Kuna siku nilijikuta nimemkamatilia kiuno huku nikimuimbisha. Alijibu kwa kucheka cheka huku akijaribu kuving'oa viganja vyangu vikivyosimikwa kiunoni kwake pasi na mafanikio, akaamua kuita mashosti wake kwa usaidizi zaidi. Akili kumkichwa, nikaona kwa utoto huu, hapa hakuna cha mbususu

Siku mbili baadae nikamkuta akiwa anadeki huku akiwa ndani ya kanga moko. Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nimemvaa kiutani na kujaribu kuforce kumbato ambalo nilikuja kulipata dakika ya mwisho japo kwa mbinde. Nilipoforce nimpatie japo busu la shavuni, akarudia utoto wa kuita majirani kwa nguvu. Nikaamua kuzama kwenye chumba changu

Kesho yake asubuhi, huyu mwanamke aliamka na matusi ya kila namna kwangu huku akianza kunitishia habari za mumewe ambaye sijawahi hata kumuona. Nikaamua kumpotezea

Siku kama tatu mbeleni, huyu mwanamke akaanzisha mazoea japo nilipojaribu kujitutumua hakuhitaji kabisa niwe karibu yake. Mpaka sasa kaniacha njia panda wakuu. Ni kama vile anaelekea elekea, kila nikipiga hatua anajeuka.

Hapa kuna mbususu kweli au napoteza muda?
Sijasoma matapishi yako yoote! Ila nimejiridhisha kuwa dishi limeyumba!
 
Kwanza nipende kujipa pongezi kwa kuwa replied na mkongwe wa JamiiForums (Pongezi kwangu)

Kama angekuwa na nia ya kunishtaki, alitakiwa apeleke malalamiko siku ile ya kwanza kumng'ang'ania kiuno. Atapelekaje kwa sasa akati penzi ni kama vile limemdoda? Ingawaje nashindwa kumdefine huyu mwanamke
Kuna kesi ya ubakaji inakunyemelea na
Unafahamu kwa sheria za Tanzania hata kumshika tu mwanamke bila ridhaa yake ni umembaka?
 
Hii ni chai na kama unachokifanya ni kweli huyo manzi unamdhalilisha sana (shambulio la aibu) na ubaya na yeye hajielewi ila ilibidi uwe ndani na ungelipa na fidia.
Dah! Huu ungekuwa ni ukatili Pro max. Yaani mimi nikuoneshe hisia zangu halafu wewe unisweke ndani

Nisingemsamehe hadi naingia buriani
 
Ukisema hivi anakuja kunguni mwengine anakwambia nenda jukwaa la siasa au great thinker
Na kunguni mwenyewe ni mimi huyu baba la bablai. Anatakiwa aende jukwaa la Siasa akajadili namna bandari inavyobinafsishwa

Huyu mtu hana utofauti na mchungaji aliyekatisha mitaa ya fisi kisha kupaza sauti na kusema, "Ina maana hawa wanawake wote hakuna hata mmoja wao ambaye hauzi mbususu?"
 
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja maneno ya kila aina, pindi aliponipatia nafasi tu, niligandamizia misumali ikafikia wakati akakosa cha kujibu

Binafsi kuna muda huwa nashindwa kupata uvumilivu hasahasa pale mwanamke anapokuwa kwenye sexual appearance ya mavazi au mkao. Kuna siku nilijikuta nimemkamatilia kiuno huku nikimuimbisha. Alijibu kwa kucheka cheka huku akijaribu kuving'oa viganja vyangu vikivyosimikwa kiunoni kwake pasi na mafanikio, akaamua kuita mashosti wake kwa usaidizi zaidi. Akili kumkichwa, nikaona kwa utoto huu, hapa siwezi pewa mbususu

Siku mbili baadae nikamkuta akiwa anadeki huku akiwa ndani ya kanga moko. Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nimemvaa kiutani na kujaribu kuforce kumbato ambalo nilikuja kulipata dakika ya mwisho japo kwa mbinde. Nilipoforce nimpatie japo busu la shavuni, akarudia utoto wa kuita majirani kwa nguvu. Nikaamua kuzama kwenye chumba changu

Kesho yake asubuhi, huyu mwanamke aliamka na matusi ya kila namna kwangu huku akianza kunitishia habari za mumewe ambaye sijawahi hata kumuona. Nikaamua kumpotezea

Siku kama tatu mbeleni, huyu mwanamke akaanzisha mazoea japo nilipojaribu kujitutumua hakuhitaji kabisa niwe karibu yake. Mpaka sasa kaniacha njia panda wakuu. Ni kama vile anaelekea elekea, kila nikipiga hatua anajeuka.

Hapa kuna mbususu kweli au napoteza muda?
Mafuta
 
Back
Top Bottom