Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wakuu Salam✋ nimetokea sana kumpenda money penny.nimekuwa nikifatilia nyuzi zake sana nimemjengea picha kichwani nimdada mmoja wamoto sana na mremboo hasa kuliko mwanamke yeyote duniani...
16 Reactions
317 Replies
12K Views
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7...
27 Reactions
267 Replies
20K Views
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo. Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo...
25 Reactions
54 Replies
6K Views
1. Kamwe usilale kwa mwanamke ambae hujamlipia ww hiyo nyumba kodi 2. Kamwe usimuachie shahawa nguo yoyote au kitambaa 3. Kamwe usitambulishe pisi ndugu yako yoyote ruksa tu kama naye baharia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu, Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa. SIFA ZANGU 1. Mrefu maji ya kunde. 2. Nina mwili kiasi. ELIMU...
13 Reactions
161 Replies
7K Views
Unapomfanyia mpenzi wako vitu vizuri Usimfanyie ili asikuache au kukukimbia. Mfanyie kwa sababu unampenda na unataka awe mwenye furaha.
4 Reactions
16 Replies
859 Views
Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Jamani, nawapenda wote humu ndani kwa maoni, ushauri, kuelimisha, kufahamisha n.k Ukweli Tangu niingie JF sijawahi juta. Ni hivi Wananzengo,Kama UNAJIONA na kujikuta wewe huna mapungufu, wewe...
1 Reactions
3 Replies
639 Views
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi...
-1 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama ilivyo kawaida kwenye moja na mbili nikiwa nimetulia sina hili wala lile. Nika mcheki best yangu hadija. Huyu hadija ni mwanamke ambaye tuna fahamiana tu na hatuna chambe chembe za mapenzi...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka. Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na...
3 Reactions
7 Replies
684 Views
Habari zenu wakuu, Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo. Je, nikweli au niuzushi tu...
1 Reactions
82 Replies
19K Views
Habari wakuu,, Tuna kijana mwezetu hapa Muislam, mashaallah kapata Binti RC na bahatinzuri Binti amekubali kubadili dini(Imani) yake ili shughuli yenye barakah(Ndoa) iweze kupitia/kufanyika...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Salaam jukwaa la MMU Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi. 1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida? Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani). Ninavyofahamu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kuna haja ya kulipatia heshima tendo la ndoa baada ya kuoana? Mlio tayari kwenye ndoa tujuzeni japo kwa ufupi kuhusiana na uhai wa tendo kabla na baada ya ndoa. Ile mikunjano, mibebano na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
How many times would a man fall in love in his life time?
5 Reactions
4 Replies
683 Views
Back
Top Bottom