Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wana JF. I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa...
40 Reactions
698 Replies
59K Views
Ndugu zangu poleni na majukumu ya kujenga Taifa na uchumi binafs Mimi kaka yenu, Kijana wenu, mdogo wenu na mtoto wenu pia kwa kila rika tofauti tofauti kwa heshima sana nakuja mbele yenu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni mwanaume wa miaka 30+, nimefika katika hatua mbaya sana katika maisha yangu, kiukweli mwili wangu na nafsi yangu na akili yangu yote vinahitaji kuwa na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Anyo-Ashi-Mikaaaa!! Niende kwenye mada. Wakati fulani nilisikia wimbo wa msanii mmoja ajiitaye Alikiba ukiimbwa "yana run dunia", ila wengi wakaubadilisha na kusema "wana run dunia"...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji. Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila...
55 Reactions
122 Replies
8K Views
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni...
27 Reactions
152 Replies
11K Views
Walevi tunapitia mengi sana pia tunayafanya mengi sana hawa watoto wa miaka ya 2000 ambao wametoka wilayani na kuja mjini kutafuta kazi na wakajipeleka katika ma bar wanapitia mengi sana unakuta...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwanza kabisa naomba uamini kuwa dreams do come true…. Yes unaweza ku end na yule unaemtaka wewe. Ila sasa tujaribu kuwa real kidogo kuwa chances za wewe kumnasa Brad Pitt and the like are...
26 Reactions
483 Replies
86K Views
Habari za wakati huu ni mbaya.. Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpe nini haridhiki. Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana, kikubwa ni kuomba tu Mungu...
63 Reactions
435 Replies
30K Views
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo...
12 Reactions
102 Replies
14K Views
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa...
26 Reactions
108 Replies
8K Views
Habari. Moja kwa moja. Jamaa yangu anaomba ushauri kwani amepoteza hisia na mwili wa mwanamke kabisa, Amenieleza kwamba hata mwanamke avue nguo awe chiu wa mnyama lakini wapi hana hisia naye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna Baa moja hapa nimezama na mim kwa leo, yani wanaume wote counter tumenuna tupo buyu, bar ina wanawake wengi saana lakini tunaziangalia tu zikijipitisha hakuna cha kuwaita wala kuwasemesha...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!. Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika. Ndoa ina raha na ndoa ni tamu...
1 Reactions
1 Replies
560 Views
Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni red alert[emoji615][emoji724] Kwa wadangaji wote waliofanikiwa kupora waume za watu wenye familia na ndoa za muda mrefu waliotengana, kuachana ama kutalikiana na wake zao halali za ndoa Kabla...
20 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, poleni na hekaheka na harakati za siku nzima Kesho ni ijumaaa msisahau kuwatumia wapenzi wenu hela jamani, mtumie babe wako hata ka 6000 akale biriani au chips msiwe wachoyo...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha. - Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa...
25 Reactions
50 Replies
5K Views
Vijana inabidi tuwaase, Dunia iko kasi, muda wako mwingi uwekeze kwenye kupiga kazi za kusaka maisha. Ukimpenda mwanamke wewe mtongoze tu na ikiwezekana majibu akupe siku hiyohiyo au akichelewa...
21 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom