Uzuri Mimi pamoja na ulevi wangu nimekaa na mwanamke zaidi ya miaka miwili sijui labda kwa sababu alikuwa mdogo ama alinipenda sana ila kila mwaka wenye siku 365 za mwaka nimegonga zaid ya siku...
Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi.
Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto)...
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu...
Mjini mimi sio mwenyeji sana na wala sio mgeni pia, siyo chini ya mara tatu katika sehemu tofauti tofauti nikiwa kwenye mishemishe zangu nakutana na mwanamke [sio mmama] akiwa na mtoto, mtoto...
Kuna utafiti nimeufanya miaka ya hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakiwachukia ndugu za waliofanikiwa.
Yaani ukikaa na mtu ukimsikiliza utamsikia katika story au maongezi yamejaa chuki na hasira...
Salamu, Mnakua katika penzi zito lakini kusalimia na kupiga simu unaanza wewe kila siku. Yani yeye hakutafuti mpaka awe na shida.
Ukiona simu yake inakuwa ni ya baby nikuambie kitu!! Tambua...
Hello,
Leo nimeamka nimewaza na kuwazua na walla sijapata jibu.
Kwanini kitendo tunachokiita mapenzi kufanyana kimekuwa kina nguvu sana kuliko kitu chochote kile duniani.
Imeonekana ni Dhambi...
1. Ukiona muda mrefu umepita au mwanamke ambaye huwa hana kawaida ya kukutafuta amekutafuta. Ujue kinachofuata baada ya DEAR MAMBO, I MISS YOU. ni kuombwa Pesa. Ujue atakueleza shida flani kapata...
Kuna hii kasumba kwamba mwanamke akifunguka kwa mwanaume kwamba amemuelewa; basi labda atajishushia heshima; kwetu sisi wanaume (sio wavulana), kasumba hii haina ukweli hata kidogo.
Nimeandika...
Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu.
Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki...
Kwa kawaida, wanaume wengi wanapenda kuoa mabinti wenye umri mdogo. Ndio maana wanawake wengi wenye umri mkubwa wanapigania ndoa zao kuliko wanaume. Na wanawake wengi wasio na waume ambao...
SIKU YA KWANZA HONEY MOON!
Katika umri wangu wote wa miaka 30 sikuwahi kutembea na mwanamke zaidi ya kuota kwenye ndoto, Ukiachana na tabia yangu ya kuangalia video za ngono pamoja na kupiga...
Natumai hamjambo wakuu
Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaoshare jina, karibu hapa kushare tabia zao, binafsi nimebahatika date na wana-oshare majina yafuatayao na hizi ndo tabia zao...
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi...
Wakuu salaam...
Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani...
Ukweli katika mapenzi tumetofautiana sana kitabia na mmoja wapo asipomjua mwenzie kwa undani zaidi basi mapenzi hayo hugeuka na kuwa karaha!
Kwa mfano mimi changamoto nayokumbana nayo mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.