Dunia imekwisha! Hivi karibuni wanawake nao wanawaza mkuyenge wanapompenda mwanaume

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Inasikitisha sana aisee,

Nowdays mwanamke akikuonesha kukupenda ama akikutamkia "nakupenda" usimuamini. Lengo lake anataka tu umpatie mkuyenge

Kuna binti alinionesha kunipenda nikaamua kuweka ukaribu naye, ni mwezi sasa anawatangazia marafiki zake eti huenda sina mkuyenge

Zamani wanawake walipenda tu kumtizama mwanaume aliyewavutia. Nowdays wakikupenda wanamaanisha mshindilio

Tuweni makini
 
Wewe siyo rizki. Pole kwa Wazazi wako.
 
Back
Top Bottom