Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ndugu, zangu natumaini nyote wazima wa afya, week iliyopita nimeachana na mpenzi wangu niliyedumu naye, kwa miaka miwili. Lakini baada ya kukaa siku kadhaa peke yangu nimegundua kama...
23 Reactions
129 Replies
8K Views
Kumekucha na makucha yake. Akina dada, akina mama na wanawake wote wa kiafrika salam! Msizuzuke na kampeni ya haki sawa na kuishupalia. Hii ni project kama project zingine. Waanzilishi siyo...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Hili ni kabila linalopatikana nyanda za juu kusini kusema za ukweli nimeona hawa wanawake wapo tofauti sana na makabila mengi wanaheshimu sana waume zao pia wanasikiliza ila wengi hawana uzuri na...
2 Reactions
27 Replies
10K Views
Shetani ni majini na watu. Uzuri wa ushetani anabeba dhambi zake na kukuachia jukumu kwako ,kwa maana hakulazimishi,hakuvuti wala hakujui ,lengo lake ni kupata wenzake. Ila siku ya siku...
2 Reactions
1 Replies
438 Views
Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi. Wasukuma watani sijui niseme? Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo? Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani mengine ni siri ila ,sasa naanza kupata wasiwasi kuwa wanaake ninaopata ni wagonjwa ,inakuwaje tupo katika heka heka nyumba ya pili wanasikia ila gafla ,kijanajike anaachia kojo zito na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini...
17 Reactions
164 Replies
7K Views
Mie nina Mwanamke wa Kihehe, huyu demu namuelewa sana. Ni mwanamke fulani hivi ukimuona unasema kabisa ama kweli Mungu fundi. Mtoto mrembo sana, ila mie nina mpango wa kumuweka ndani. Ila kabla...
3 Reactions
90 Replies
16K Views
Habari zenu wapendwa, Rafiki yangu yuko matatizoni, aliolewa mwaka juzi na kubahatika kupata mtoto mmoja, kipindi chote cha uchumba wao mwanaume alimwambie (rafiki yangu) kuwa hana mtoto wa nje...
0 Reactions
214 Replies
21K Views
Naandika hivi nikiwa na hasira sana isiyo na kifani. Hivi hizi mtu zinafahamu gharama iliyotumika kuunda hii platform? Gharama za kufanya maboresho! (updates), au wanazungumza kama watu...
23 Reactions
152 Replies
7K Views
HUDUMIA MWANAMKE UNAYEISHI NAYE. ACHA KIHEREHERE UTAKUJA KULIZWA KIBWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 90% ya wanaume wanaolilia mapenzi wanakiherehere. Ushamba tuu. Mwanamke hujamuoa...
42 Reactions
144 Replies
8K Views
Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana. Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mambooz. Kwenye mapenzi kuna mambo mengi ebu niambie kipi kilisababisha ukawa fundi wa mitindo.
1 Reactions
1 Replies
732 Views
Habari za Jumapili wana Jamvi, Bila kupoteza muda, ngoja nielekee kwenye mada husika: Katika pita pita zangu mjini Morogoro nikakutana na binti wa Kikaguru kutoka huko pande za Gairo.Ni mwenye...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
skia tu kwa mwenzio kuwa na mshkaji mropokaji inaboa asee yani bora awe wa kike sababu kwanza Automatically kuna baadhi ya mambo hawezi kuyajua sababu ww n wa kiume yeye wa kike Daah nna huyu...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Furahia MUDA ulioanao na yule unayempenda. Kila mtu tuliyenaye kwenye maisha yetu hatadumu milele. Wengine tutakuwa nao kwa muda mrefu sana na wengine tutakuwa nao kwa muda mfupi. Mungu hutupa...
3 Reactions
12 Replies
712 Views
Hawa viumbe wenye kale kauweusi ka Chocolate bila kusahau visura fulani hivi vya huruma sio huruma, furaha sio furaha, mawazo sio mawazo! Wanawake wa namna hii ni watamu, watamu tena na tena...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Ni binti mgeni tu aliamia kitaa chetu, sasa wakati anakuja hakuna aliyekuwa anajua kwamba ni dada poa yaani anauza, Sasa bwana Zero iq nikajitosaga kumfukuzia ili nimsajiri kwenye daftari la mtaa...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom