Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Hili ni kabila linalopatikana nyanda za juu kusini kusema za ukweli nimeona hawa wanawake wapo tofauti sana na makabila mengi wanaheshimu sana waume zao pia wanasikiliza ila wengi hawana uzuri na maumbo kama vijana wanavyohitaji ila kama unataka kuoa ni wife material