Huyu binti anachekesha sana. Atanikumbuka

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,360
Reaction score
11,587
Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi utani na ucheshi wa kijinga".

Binafsi niliona ni vyema nimuonee huruma tu kwa kuwa kati ya wale wenzake wawili aliokuwa nao, yeye ndiye mmbovu. Always black is beauty, lakini kwa uweusi aliokuwa nao ni basi tu. Hata kama angeliingia king ningeishia kucheza na hisia zake na nisimchakate hata mbususu

Kijana handsome kama mimi ninayeliliwa na wanawake kadha wa kadha hapa mtaani bila kusahau wake za watu na watoto wao ninajibiwa shit kweli!!?[emoji23]

Pale pale mbele yake niligeuza shingo kwa hasira kali nikasogea mbele kumtongoza mmoja kati ya hao wawili aliokuwa nao. Nimemuimbisha verses plus heavy tone na tabasamu kwa mbaaali, binti kabaki anamwaga udenda tu. Nikamalizia kwa kumwambia, "Hiyo ni tlera tu, bado movie lenyewe" nikachukua simu yake kwa swaag nikaandika namba yangu kisha nikaichum mpaka simu yenyewe. Kabaki ananitizama tu ninavyoishilia

Huyu kiswaswadu (cheusi Mangala) alilishuhudia tukio lote hilo. (Tukio ni la jana usiku )

Mida ya saa nne binti akanicall, katika mazungumzo ya hapa na pale ndipo kuja kugundua kuwa yeye na huyo Mangala ni mtu na mdogo wake

Wacha picha ianze! Mrejesho wote nitakuwa naupachika hapa

N.B Wanawake acheni kushindana na wanaume. Shwain!
 
Aisee! Nashauri nenda kapate supu ya utumbo na chapati moja, kisha shushia na chai ya tangawizi!
 
FB_IMG_16953959113082890.jpg
 
Nikamalizia kwa kumwambia “hiyo n tlera tu bado movie lenyewe”
nikachukua simu yake kwa swagg nikaandika namba yang
Kisha nikaichumu mpaka simu yenyewe
kabaki ananitizama tu ninavyoishilia

Hii mara yako ya ngapi kutongoza?
Sio mara ya kwanza. Sema huyo mwanamke niliamua kumtongozea hasira. Hence niliperform better kiasi kwamba nikaacha alama ya mshangao kwa waliokuwa karibu nami

Wangekuwepo watu wa media, wangenitaka nirudie ili tufanye tangazo
 
Yeye wala hana habari kama ulimtongoza, wewe ndo unayehangaika, kifupitu alikuona sio hadhi yake uliyenaye ndo hadhi yako mkuu
 
wanaume akianza kujisifia yee ni handsome lazina nipate doubts like real nigga?? kuna fyuzi kichwani mwako haiko vizur
Scientifically hakuna fyuzi kwenye bichwa la mtu

Lakini ukweli utabaki kuwa hivyo hivyo. I'm handsome like Jay Melody
 
Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi utani na ucheshi wa kijinga".

Binafsi niliona ni vyema nimuonee huruma tu kwa kuwa kati ya wale wenzake wawili aliokuwa nao, yeye ndiye mmbovu. Always black is beauty, lakini kwa uweusi aliokuwa nao ni basi tu. Hata kama angeliingia king ningeishia kucheza na hisia zake na nisimchakate hata mbususu

Kijana handsome kama mimi ninayeliliwa na wanawake kadha wa kadha hapa mtaani bila kusahau wake za watu na watoto wao ninajibiwa shit kweli!!?[emoji23]

Pale pale mbele yake niligeuza shingo kwa hasira kali nikasogea mbele kumtongoza mmoja kati ya hao wawili aliokuwa nao. Nimemuimbisha verses plus heavy tone na tabasamu kwa mbaaali, binti kabaki anamwaga udenda tu. Nikamalizia kwa kumwambia, "Hiyo ni tlera tu, bado movie lenyewe" nikachukua simu yake kwa swaag nikaandika namba yangu kisha nikaichum mpaka simu yenyewe. Kabaki ananitizama tu ninavyoishilia

Huyu kiswaswadu (cheusi Mangala) alilishuhudia tukio lote hilo. (Tukio ni la jana usiku )

Mida ya saa nne binti akanicall, katika mazungumzo ya hapa na pale ndipo kuja kugundua kuwa yeye na huyo Mangala ni mtu na mdogo wake

Wacha picha ianze! Mrejesho wote nitakuwa naupachika hapa

N.B Wanawake acheni kushindana na wanaume. Shwain!
How old are you dear?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom