Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime.
Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground )...
Jamani kwa anaejua dawa ya kumfanya mwanaume akae mbali na pisi yaani asipate zile feelings za kutamani madem naomba anisaidie pesa zangu zitaisha
Uzi tayari
Pole kwa kuhangaika maeneo mbalimbali kwa muda mrefu sana ukinitafuta,
kipenzi na mume wa maisha yako huyu hapa amepatikana,
ametoka kwa Mungu.
karibu sana faragha iko wazi.
uliemtarajia na...
Kwa kipindi kirefu nimekua msomaji wa mada mbalimbali zinazohusu mahusiano na ndoa mala kadha wa kadha
Nmkua nkifatilia kwa kina juu ya wale wanaokataa ndoa, kuzielewa sababu zao zinazowapelekea...
Wakuu nawasaalimu
Hili ni janga lingine la familia, kitaifa, na dunia kwa ujumla. Limekuwa likitutafuna miongo kadhaa sasa.
Unafanya uwanja wa mazoezi binti wa mtu, ukijua fika hutomuoa.
Akili...
Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana.
Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume...
Hi ni ajabu,
Huyu bi dada sijui anawawaza nini
Anyway
Kuna mdada mmoja nipo nae kwenye mahusiano,
Japo mahusiano yetu sio yale stroong ,tunawasiliana ila sio kwa kiasi kile kuna kipindi alisema...
Habari zenu wanaJF na hongereni na majukumu ya kuendeleza taifa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nimekuwa nikitatizwa na hili swali kichwani na nimejaribu kuuliza watu mbalimbali hasa...
Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana.
Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za...
Habari za j2 wana JF.
Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari...
Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana.
Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya...
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.
Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala...
Wakuu Mimi nimepata manzi ambae ananikubali Sana ..tatizo Mimi ndio ninakosa ujasiri wa kuendelea nae...je hakuna tatizo huko mbeleni na vipi tukiwa tunatoka pamoja ktika mitoko mbalimbali wakuu...
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako)na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi...
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata...
Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na...
Hii ni pisi moja matata kweli kweli kwanza kujibu DM sio jambo rahisi sababu kama mnavyojua pisi kali instagram huwa hazijibu dm kirahisi rahisi sabab ya usumbufu wanaoupata kutoka kwa washkaji...
Good afternoon ladies and gentlemen.
Let's get down to business.
This shit still boggles my mind.
If a girl wants and older guy it's a preference, if a guy wants a girl who is younger it's...
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.