Wanawake msidanganyike, 50/50 ni project za watu(wanaume) kwa faida zao binafsi na siyo ninyi

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Kumekucha na makucha yake.

Akina dada, akina mama na wanawake wote wa kiafrika salam!

Msizuzuke na kampeni ya haki sawa na kuishupalia.
Hii ni project kama project zingine.

Waanzilishi siyo wanawake kama wengi mlivyojua, bali ni wanaume wachache wenye wadhifa kwa faida zao binafsi.

Nyie wanawake hasa wa kiafrika mnatumika kama toilet paper tu.

50/50 siyo rafiki kwenu kihivyo, haina huruma na ninyi wala mateso mnayopitia

Kwa akili tu ya kawaida, 50/50 ianze Marekani then wewe Mwajuma, Fatu na Ashura wa Buza tena Afrika mfaidike kweli?

Nataka niwaambie mnatumika na mmekubali kutumika kufanikisha wajinga wachache huko US wapige fedha.

Mtawachukia waume zenu bure na kuwaona maadui, mtawaendea kwa waganga waume zenu bure kwa kuona wanawanyanyasa.

Adui yenu wa kweli si waume zenu, adui yenu wa kweli ni hao Operators wa Hii Movement ya haki sawa mnayoiona kama inawasaidia.

Hamjanielewa hapa, adui yenu si waume zenu bali ni Wanaume waanzilishi na wafadhili wa mradi huu wa haki sawa.

Dada zetu wa kiafrika acheni kutumika,nani kawashikia akili zenu?

Wazungu hawawatakii mema nyie na msijidanganye kuwa wanawapenda sana.
Haitotokea.

Nahitimisha kwa kusema, feminists wa kweli ni wanaume waliojificha nyuma ya kampeni ya haki sawa inayo pretend kusaidia wanawake ilhali haipo kwa lengo hilo.

Mwenye sikio na asikie.
Hebu simama kwenye nafasi yako na uwe mnyenyekevu uone kama mumeo atakurushia hata kofi.

Msitumike jamani
 
Kosea vyote lakini usije kujichanganya ukaoa hawa feminist wa 50/50. Asilimia kubwa ndio hawa siku hizi wanaojiita "superwomen" majukumu yao yote ya ndani wanawaachia mahousegirl. Wao ni kufuga kucha, kuvaa mawigi na kushinda saloon na kushindana kupost status instagram, whatsapp na tik tok. Mwanamke hata kupika andazi hawezi maskini ya Mungu.
 
Wanawake wa aina hiyo hawa feminist ni pasua kichwa aisee hao ni kugonga halafu unapita hivi unasepa
 
Mwanamke analikoroga mwenyewe et kwa kuwa kuna haki sawa kwa wote. Baada ya hapo anachezea mabanzi na mbata za mgongoni za kutosha.

Mwanamke huyooo, nduki mpaka kwa bwanake mwingine, dawati la jinsia. Huyu anahisi anampenda sana kuliko hata mmewe bila kujua huyu dawati yupo under sponsorship of US yule yule anaemchukia mwanamke ila anjitia kumtetea kinafiki.

Dawati anamuamulia huyu mwanamke eti kama vip temana na huyo boya. Mimi nipo kukusaidia namna ya kumtemana nae.

Masikini, huyu mwanamke bila kufikiria walikutana vipi na mme wake mpaka wakaanzisha maisha nae anauvaa mkenge. Anamuacha mme wake. Kisa tu anahaki ya kugeiwa mali ambayo hata wakati mwingine hakushiriki hata kuichuma zaidi ya kuletewa mapochopocho aandae(eti kwa kuwa alikuwa anampikia huyu mwanaume nae hapo ameshiriki kuchuma mali za familia)

Kifuatacho sasa, baada ya kuhakikisha ndoa haipo tena, mzee baba, Dawati la jinsia hana time tena na huyu mwanamke. Kwa nini? Ni kwa sababu mission accomplished.

Matokeo sasa, mwanamke anageuka kuwa danga, yani kama mbwa tu, wenyewe wanasema bitch. Kila mwanaume mwenye upwiru anampanda . Yaani amegeuka kuwa jehanam, shimo la taka. Ananuka ni balaa. Amekuwa kila anina ya mifano ya hovyo.

Wewe mwanamke, simama wima, janjaruka. Za kuambiwa changanya na zako. Hakuna mwenye mapenzi ya dhati kwako kama;
(i)wazazi wako
(ii)mwenza wako

Hao wengine wote wanafake kukupenda ili wapate nafasi ya kukuharibia.

Kazi kwako
 
wenye masikio, na wasikie
JamiiForums-1965927056.jpg
 
Umeongea ukweli mchungu Sana,
Dawati la jinsia haliwasaidii Chochote Wanawake baada ya kauchika na kupitia msoto mkali wa maisha
 
Best comment ever.
 
"Kifuatacho sasa, baada ya kuhakikisha ndoa haipo tena, mzee baba, Dawati la jinsia hana time tena na huyu mwanamke. Kwa nini? Ni kwa sababu mission accomplished."

Sijui akina Hadija na Mwanaidi na Zai wa Uswekeni wanakwama wapi kuyang'amua haya
 
Wengi tumekataa kuelewa kuwa usawa haimaanishi tufanane kila mahali. Mi nikihitaji kuku watatu ili kushiba, haimaanishi na wewe udai watatu ili ushibe pia wakati mahitaji yako ni robo tu. Usawa ni wote tushibe, na wengi mnataka kufanana.
 
Back
Top Bottom