Baada ya kuona warembo wetu, katika huu ukanda wetu, wengi wao ni omba omba, nikaamua nivuke mabara na mabara ili niweze kupata pisi kali matata, isiyokuwa omba omba.
Kwanza nilianza kwa kutafuta...
Labda ni kweli amekuwa anakufikiria na hiyo ni nzuri - ikiwa yeye pia ni single hajaoa.
Kabla ya kumhukumu, pima sauti yake na marudio ya uchumba. Ikiwa atasema tu pale unapokutana au kumtumia...
Wakuu kwema,
Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali...
Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝
Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya...
Habari wanajamii,
Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa...
Ndugu wana Jf kwa heshima kubwa nawasalimu sana.
Humu ndani kuna watu wa imani tofauti tafauti na kila rika kwa nafasi zao naombeni msaidie ushauri wa haraka hapa
Katika pilika pilika za...
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu.
Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.
Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa...
Wakuu nimeandika hapa si kwa lengo la kujivunia bali nikujutia kosa nililo fanya la kumruhusu kutoa mimba zangu mbili.
Ipo hivi, mwaka 2020 niliingia kwenye mahusiano mapya na binti mmoja ambaye...
Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala?
Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye...
Habari kaka zangu mimi mdogo wenu kwa kipindi kirefu nimekuwa Single na pia nimekuwa kwenye uhusiano na mtu kwa kipindi kirefu ila sijawahi kufanya tendo nae hata mara moja
Kiufupi sijawahi...
Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda.
Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume...
Ni hakika ndoa ni Fursa Kubwa kwa Mwanaume na kwa Mwanamke pia.
Kwa MWANAUME..... una mwanamke mzuri kando yako, ni mke mwema kutoka kwa BWANA.
Anakutumikia kwa kila njia kwa moyo wake wote...
Aseee hii nomaa sanaaa, em tuangalie kwa ufup tuu
Mipaka inaonesha ni sehemu gani wewe uishie na ni sehem gani mtu mwingine aishie asiingie katika himaya yako
Mipaka inasaidia mtu mwingn...
Niende moja kwa moja kwenye mada nasjisikia uchungu sana ingawa yalishapita.
Ipo hivi mwaka huu tarehe 26 january nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT...
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.
Huyo dada huwa ananipigia...
We Only Fall in Love with 3 People in Our Lifetime (Each One for a Specific Reason)
According to one theory, we only fall in love with three people in our lifetime.
We may like many people...
Salamu zenu jamani watu wa humu...habari za kazi zenu popote mlipo..mm ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna binti nimedumu nae ktk uhusiano kwa mwaka mmoja na Kama miezi miwili hvi,huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.