Karibu Tujadiliane.

Karibu Tujadiliane.

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Mambooz.

Kwenye mapenzi kuna mambo mengi ebu niambie kipi kilisababisha ukawa fundi wa mitindo.
 
Aliwahi kuwa hapatikani na hata hajibu text zangu sababu kubwa ni hana hamu ya kutumia simu

Baada ya uchunguzi wa FBI na CIA nikagundua amehamishia moyo na akili kwa best friend wangu

Nilipiga chini ila jamaa urafiki ukabaki tena ule wa shida na raha mpaka sasa ni miaka 4
 
Back
Top Bottom