EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

Moronight walker

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
3,105
4,635
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.

Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.

IMG-20231004-WA0013.jpg

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto?
 
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira.
Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako???

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.
View attachment 2771724

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto??
Wanawake ni washenzi.

Angeulizwa angesema, ina maana huniamini? Mzozo ungeanzia hapo.
 
Ila kuna baadhi ya majitu ni mangese aseee!

Wewe ulikuwa muaminifu kwa Mungu wako hadi kukutana na mkeo?hujawahi kukaza wala kukazwa kabla ya ndoa?

Hata Mungu uliyemtaja hajakuruhusu wewe kapuku kuhukumu

#pOvu 😤
 
Sasa madam haha matusi mimi nimeongelea kwa wanaume juu ya wanawake.
Kama wewe unaweza kuthibitisha mume wake amewahi lala na mwanamke mwingine sawa kama ujawahi kumuona kwa macho .

Kama nyie mnaweza sawa.
 
Kuna vidio moja niliangali kuna kipindi huko USA kinarushwa live kabsa mnaenda mwanaume na mwanamke ila muwe na mtoto mnasaini kuridhia majibu ya DNA mnapimwa then majibu yanatangazwa public tena live na watu wanakwenda kuangalia is like a event aloo ogopa wanawake yaan wanaume mkeo akizaa fanya tu kimya kimya kapime DNA hawa watoto 70% sio wakwetu halali niliangalia kile kipindi nilichoka katika wanaume 10 mmoja tu ndo majibu yamesoma ni baba halali wa mtoto wengine wote wamepigwa
 
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira.
Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako???

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.
View attachment 2771724

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto??
Mapenzi hayana formula.

Ila ukiwa na Mungu wa kweli, huwezi oa takataka au kuolewa na mtu ambaye sio mwaminifu.
 
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira.
Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako???

Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni wako na ME utakuta sawa tuu. Ndo maana tunadanywa sana 😅😅🤣.

Sasa mwanaume mwenzetu huku nigeria majibu ya ex wife yake Baada ya DNA test kuonyesha mtoto siwake.
View attachment 2771724

Kwa maneno hayo ya dada hapo ni kwamba wanaume tuache kuamini mtoto anaweza kuwa wako nenda kahakikishe.

Lakini kwa upande mwingine unaweza sema yupo sawa huyo dada. Lakini kwani kwenda kusaini cheti cha kuzaliwa kwa nini hakumzuia mume wake hasisaini cheti cha kuzaliwa cha mtoto??
Haya ndo madhara ya kuoa mwanamke asiyekupenda, we unaforce tu.

Ukioa mwanamke aliyekupenda sana, hawezi leta mtoto wa nje.
 
Lakini.....
Hadi wanafikia hatua hiyo, minaona shida ilianzia kwa mwanaume kuto kua na uwezo kutambua kama huyo ni mke wake ama anafunga ndoa na mke wa mwanaume mwingine.
Na kwamajibu hayo, niwazi mke alihitaji zaidi harusi kuliko ndoa.
 
NDOA NI LAANA

NDOA NI BIASHARA HARAMU

KATAA UTAPELI
Ndoa sio laana. Inakuwa laana ikiwa mwanaume umekosea au hukufanya vetting. Everything is on your hands .

Ndoa inaweza kuwa biashara haramu kama ukioa mwanamke asiyekupenda. Kwa aliyekupenda hata ukiambiwa mahari million 3 tafuta toa.

Utapeli upo Hadi kwenye mahusiano ya kawaida. Na mara nyingi huu Utapeli tunautaka sisi wanaume maana mwanamke anakuonyesha kabisa tabia zake we unafumbia macho kisa shape yake na sura yake.
 
Ndoa sio laana.

NDOA NI UPUMBAVU

NDOA NI UJINGA

NDOA NI AJIRA KWA MWANAMKE

KATAA KUPIGWA SASA
 
Sasa madam haha matusi mimi nimeongelea kwa wanaume juu ya wanawake.
Kama wewe unaweza kuthibitisha mume wake amewahi lala na mwanamke mwingine sawa kama ujawahi kumuona kwa macho .

Kama nyie mnaweza sawa.
Kwa akili hizi lazima kulea mtoto asiyewako, kumbe wanaume kuzini ni haki yenu kwakuwa wanawake hawawezi thibisha mmezini kabla ya ndoa
 
Wanawake ni washenzi.

Angeulizwa angesema, ina maana huniamini? Mzozo ungeanzia hapo.
Nadhani wengi bado mna zile hangover za maisha ya kizamani. Zamani wanawake ndiyo walikuwa wanapaswa kuwa watii kwenye ndoa na hawakuruhusiwa kuchepuka hata kidogo. Mambo yamebadilika siku hizi. Utandawazi umewafanya wajitambue. Wewe umeoa unachepuka kwa nini mkeo naye asichepuke? Wewe unatongoza wapenzi wa wake za watu. Kwanini unaona si halali kwa mpenzi au mke wako kutongozwa? Kwa kifupi mwosha huoshwa. Kadiri unavyojifanya wewe ni kipanga na mke wako naye anakutana na vipanga.
 
Back
Top Bottom