Naombeni msaada

Skudu makudubela

JF-Expert Member
May 20, 2023
563
1,102
Jamani kwa anaejua dawa ya kumfanya mwanaume akae mbali na pisi yaani asipate zile feelings za kutamani madem naomba anisaidie pesa zangu zitaisha

Uzi tayari
 
Jamani kwa anaejua dawa ya kumfanya mwanaume akae mbali na pisi yaani asipate zile feelings za kutamani madem naomba anisaidie pesa zangu zitaisha

Uzi tayari
Hapo huna cha kufanya zaidi ya kumshauri mtu huyo aokoke kweli kweli. Atapata badiliko na nguvu za kusonga mbele na kushinda tamaa. Vinginevyo, mwili hauwezi kuzimika.

Mimi nilikamatika huko ila sasa hivi naweza kukaa mbali na wadada. Zamani nilishashindwaga. Ni mpaka nguvu za Mungu.
 
Inatakiwa ukamuliwe mpaka ubaki kapuku. Yaani uanzie sifuri.

Ikifikia hatua hiyo, hutahitaji watu wakupe hamasa ya kuwakwepa. Ila ni wewe tu utajikuta unapitananao mbali
 
Back
Top Bottom