Analazimisha kunizalia

Nahman

JF-Expert Member
Oct 4, 2023
522
1,521
Hi ni ajabu,

Huyu bi dada sijui anawawaza nini

Anyway
Kuna mdada mmoja nipo nae kwenye mahusiano,

Japo mahusiano yetu sio yale stroong ,tunawasiliana ila sio kwa kiasi kile kuna kipindi alisema anataka tuzae, nikamkatalia na kumuambia sihitaji kuwa na mtoto kwa sasa.

Tukaachana na hizi habari kwa kipindi kifupi,

Sasa hapa juzi ananambia haoni tena siku zake na blah blah kibao. Msimamo wangu kwake ni jle ule mimi sitaki kuwa na mtoto kwa sasa ila haniewi na hasikii tena.

Anadai eti ni bahati mbaya na istoshe yeye ni nesi na kwa kipindi choote tulichokua pamoja hajawahi kushika mimba.

Why this time?
 
K

wasabu sitaki kuzaa nae
Umetembea naye ukitegemea nini? Kwahiyo unataka atoe mimba, unajua hatari inayomkabili akiamua kutoa mimba?

Wewe je una uhakika uko mbeleni utakuja kupata mtoto baada ya kutoa hiyo mimba?

Kitanda hakizai haramu brother, kubali mtoto huyo uendeleze ukoo😀😀.

BTW Ilikuwaje ukatembea na mwanamke ambaye hana sifa za kuwa mzazi mwenzako? Ulivutiwa na nini kwake?
 
Back
Top Bottom