Na mpaka kuoa unakuta kijana wa kiume umekula mabinti miongo isiyopungua 20

mbonji monga

Member
Mar 23, 2020
69
138
Wakuu nawasaalimu

Hili ni janga lingine la familia, kitaifa, na dunia kwa ujumla. Limekuwa likitutafuna miongo kadhaa sasa.

Unafanya uwanja wa mazoezi binti wa mtu, ukijua fika hutomuoa.

Akili ipo na pacel(pisi kali) nyingine kwenye utindio wa ubongo

Ee kijana wa kiume badilika. Kachumbie, hatimaye oa.

Tupunguze kufanya mabinti kuwa bunsen burner

Karibuni kwa hoja. Tunawala mno mabinti za watu kiasi kwamba hatuna nia ya kuwaoa. Na mpaka kuoa unakuta kijana wa kiume umekula mabinti miongo isiyopungua 20
 
BINTI ZA KIKE.
 
P

Pole binti,ulidhani angekuoa kumbe?
 
Mtu akiombwa maana yake Huwa namachaguzi mawili, akubali ama akatae

Ilikuepuka kutokuwa Bunsen burner wakatae wanapoombwa na watafute pesa za Ili wazidi kuwa na machaguzi mengi
 
_20231007_093553.JPG
 
Wakuu nawasaalimu

Hili ni janga lingine la familia, kitaifa, na dunia kwa ujumla. Limekuwa likitutafuna miongo kadhaa sasa.

Unafanya uwanja wa mazoezi binti wa mtu, ukijua fika hutomuoa.

Akili ipo na pacel(pisi kali) nyingine kwenye utindio wa ubongo

Ee kijana wa kiume badilika. Kachumbie, hatimaye oa.

Tupunguze kufanya mabinti kuwa bunsen burner

Karibuni kwa hoja. Tunawala mno mabinti za watu kiasi kwamba hatuna nia ya kuwaoa. Na mpaka kuoa unakuta kijana wa kiume umekula mabinti miongo isiyopungua 20
Kadiri unavyochezea ndivyo kadiri unavyojiwekea chance ya kupata wa kumuoa, 75% ya wanawake wanapenda kuchezewa usipo chezea utakuwa na wakati mgumu sana wakupata mwanamke wa kumuoa
 
Hatuoi, pisi zenyewe nazo zinafanya kutudanga, ni mwendo wa kuchapa unapita huku, akipatikana wa kuolewa anaolewa.. sasa mimi nikae na kichupa wakati kuna manzi inatumia vichenji vyangu..🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom