NIFANYAJE NISIAIBIKE?

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
323
954
Habari kaka zangu mimi mdogo wenu kwa kipindi kirefu nimekuwa Single na pia nimekuwa kwenye uhusiano na mtu kwa kipindi kirefu ila sijawahi kufanya tendo nae hata mara moja
Kiufupi sijawahi kufanya tendo kabisa sasa hivi karibuni narajia kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mpenz wangu Tangu nizaliwe naombeni mbinu nifanyeje ili nisiaibike? Pia nizingatie vitu gani kabla na baada ya tendo?
Miaka tangu 25
 
Back
Top Bottom