Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.

Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.

Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.

Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.

Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
 
Mpaka mnaangalia movies ...wawili tu ..ukaanza tena kumtongoza?
Wakati alishakutajia Hadi shanga?
Why usingeanza na kuuliza shanga uzihesabu....?

Inawezekana kakasirika na ulicho ongea...labda hakutaka uongee kitu...
Uendelee tu kimyakimya....kutoka movies,shanga...etc...

Umeshindwa kwenda na flow....

Kama ana mchumba kweli usiende tena kwake...mkaribishe kwingineko...
 
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.

Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.

Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.

Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.

Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
sasa uki uawa na huyo mpenzi wake hapo chumbani kwake,
humu JF tutachat na nan na tulikuzoea na thread zako kama ivi?
 
Blazaaaaaa demu kakuwekea mpaka mitego umeshindwa kumlaa.. yani kakutengenezea mazingira wee.. mademu wengine hawapendi maneno mengi yani wwe ingia kula afu kausha sasa subiri kutangaziwa jogoo hapandi mtungi🤣🤣
 
yaani anatafuta minundu ya uso kizembe sana tena kwenye geto la wenyewe,

hatari sana kuchezea shilingi kwenye tundu la choo,

Akaiskize vizur ngoma ile ya bukuku inatwa dunia haina huruma
Mletee wimbo huo labda haujui🤣
Anamwambia"nenda mwananyamala kachukue mzoga wako,mie ni mke Mwenzio"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii nchi hii
 
Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.
Ulitakiwa umwachie cheo chake, kama alianza kukukaribisha ulitakiwa usubiri tamko lake, amekuchukia kwa kuona huna subra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom