Utata wa kidini kwenye haya mahusiano umetuacha njia panda

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana Jf kwa heshima kubwa nawasalimu sana.

Humu ndani kuna watu wa imani tofauti tafauti na kila rika kwa nafasi zao naombeni msaidie ushauri wa haraka hapa

Katika pilika pilika za kimaisha mdogo wangu (mkristo) alijipatia binti wa imani ya kislam wazazi wake ni swala tano (5), na ameka na binti yao kwenye urafiki na mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu wa miaka mitatu takribani kiasi cha kuaminiana na kumpa binti mimba.

Binti ana mimba ya miezi saba sasa na mdogo wangu anataka kumuoa huyu binti awe mke wake kabisa kabisa kwani hapendi kuona anamtelekeza mwanamke walie pendana naye kisa imani zao tofauti

Shida imekuja kujitokeza ni kwamba wazazi wa binti wanataka dogo awe muislam ili amuoe binti yao ila dogo amesema hawezi kubadili dini yake kabisa wakuu japo binti yao anampenda na yupo teyari awe mke wake

Nime muuliza kwa upande wa huyo binti (mpenzi wake ) ana semaje yeye kasema binti hana shida yeyote shida ni yeye ana ogopa wazazi wake kuchange dini amfate dogo kwenye ukristo , ila anampenda sana dogo na yupo teyari kuwa mke wake na anampenda sana.

Dogo nae anasema tokea yupo na binti ana mfundisha na kusali na binti kwa imani ya kikristo na huyo mpenzi wake hana shida kabisa na ana furahia bila shaka yeyote

Ndugu wana Jf kwa imani zenu na kwa kila hali sisi kama ndugu wa mdogo wetu mpaka sasa tumeshindwa kujua tuwasaidie vipi huyu kijana na huyu binti ili wawe mume na mke na waendeshe maisha yao kwa amani na baraka tele kutoka kwa wazazi wa pande zote pamoja na huyo kiumbe aliye tumboni kwa mwanadada pindi atakapo zaliwa.

Nimekuja hapa kuomba mawazo yenu ya hali na mali kuwasaidia hawa vijana walio ingia katika utata huu wa kiimani katika mahusiano yao, pia ili kuwafanya wawe pamoja ukizingatia dogo hataki kabisa kufata dini ya mwanamke wake na mwanamke yupo teyari kumsikiliza dogo na kufata dini yake na kua mke wake ,shida ni wazazi wa mwanamke hapa .

Ndugu saidie huyu kijana na huyu binti wavuke hapa wakuu .

Asanteni
 
Ndoa za serikali zipo.. waende huko

Nb. Kabla hamjaanza mkaja nogewa na utamu, hakikisheni mna imani sawa.. ama laa muwe teyari kwa heka heka za ukoo
Ndiyo washanogewa mpaka wamepea mimba mkuu shida ni kuwaweka sawa maana anasema mwanamke yupo teyari kuwa nae tatizo ni wazazi wake.

Je, hizo heka heka za ukoo ni kama zipi ziweke wazi pia kuwasaidia hapa mkuu
 
Hao wenzetu dada zetu wanaoa vizuri na wanawabadili dini vizuri tu, na wakati mwingine wanawataliki mbele ya safari. Ila kivumbi dada zao wanaona kama wanaozesha kwa mashetani, all in all mimi huwa naamini dini zote mbili zimekuja kutugawa tu na si kutuweka karibu na Mungu maana tunavyotazamana kwa imani zetu wakati wote pua zetu pana, hawa wanaona mwarabu ndo ndugu yake na wengine wanaona waisrael ndo ndugu zao..... Maskini sie tumepotoka mpaka inatia huruma, ukimkuta mtu anavyouzungumzia uislam/ukristo utasema ni asili yao kumbe waliwaletea ili iwe rahisi kuwatawala. Angalia china na india ni mataifa yenye imani zao lakini na wenye maendeleo sana na wasio na kuyumbishwa, Mungu yupo ndugu zangu, lakini kila mtu alikua na njia yake ya kuwasiliana nae

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Uongo mtupu.
 
Si ndio kama hizo mnazopitia sahivi?
 
Kama Una namba za hao wazazi wapigie waambie wamuombe msamaha huyo kijana haraka sana. Kwa zama hizi za kampeni ya KATAA NDOA Mzazi anaanzaje kumkataa kijana mwenye nia njema ya kumuoa binti yake kwa sababu nyepesi kabisa kama ya 'dini'?
 
A
Ndugu wana Jf kwa heshima kubwa nawasalimu sana.

Humu ndani kuna watu wa imani tofauti tafauti na kila rika kwa nafasi zao naombeni msaidie ushauri wa haraka hapa

Katika pilika pilika za kimaisha mdogo wangu (mkristo) alijipatia binti wa imani ya kislam wazazi wake ni swala tano (5), na ameka na binti yao kwenye urafiki na mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu wa miaka mitatu takribani kiasi cha kuaminiana na kumpa binti mimba.

Binti ana mimba ya miezi saba sasa na mdogo wangu anataka kumuoa huyu binti awe mke wake kabisa kabisa kwani hapendi kuona anamtelekeza mwanamke walie pendana naye kisa imani zao tofauti

Shida imekuja kujitokeza ni kwamba wazazi wa binti wanataka dogo awe muislam ili amuoe binti yao ila dogo amesema hawezi kubadili dini yake kabisa wakuu japo binti yao anampenda na yupo teyari awe mke wake

Nime muuliza kwa upande wa huyo binti (mpenzi wake ) ana semaje yeye kasema binti hana shida yeyote shida ni yeye ana ogopa wazazi wake kuchange dini amfate dogo kwenye ukristo , ila anampenda sana dogo na yupo teyari kuwa mke wake na anampenda sana.

Dogo nae anasema tokea yupo na binti ana mfundisha na kusali na binti kwa imani ya kikristo na huyo mpenzi wake hana shida kabisa na ana furahia bila shaka yeyote

Ndugu wana Jf kwa imani zenu na kwa kila hali sisi kama ndugu wa mdogo wetu mpaka sasa tumeshindwa kujua tuwasaidie vipi huyu kijana na huyu binti ili wawe mume na mke na waendeshe maisha yao kwa amani na baraka tele kutoka kwa wazazi wa pande zote pamoja na huyo kiumbe aliye tumboni kwa mwanadada pindi atakapo zaliwa.

Nimekuja hapa kuomba mawazo yenu ya hali na mali kuwasaidia hawa vijana walio ingia katika utata huu wa kiimani katika mahusiano yao, pia ili kuwafanya wawe pamoja ukizingatia dogo hataki kabisa kufata dini ya mwanamke wake na mwanamke yupo teyari kumsikiliza dogo na kufata dini yake na kua mke wake ,shida ni wazazi wa mwanamke hapa .

Ndugu saidie huyu kijana na huyu binti wavuke hapa wakuu .

Asanteni
Mwambie amset binti kwamba waigize kama wameachana. Wakitaka kuwasiliana wafanye hivyo Kwa Siri Sana. Baada ya muda kitaeleweka tu.
 
Ndoa sasa imekuwa community project. “Kataa ndoa”waliona mbali... maua yenu pokeeni. Mtu unamfyatua kila siku Na yeye kutandaza miguu hakatati haya mambo ya imani wakati wa kufyatuana huwa wakati huo yako wapi ukiwa munavyafyatuana?
Nafikili kila Mtu abaki Na imani yake waende tu serikalini kuyamaliza.
 
Ndugu wana Jf kwa heshima kubwa nawasalimu sana.

Humu ndani kuna watu wa imani tofauti tafauti na kila rika kwa nafasi zao naombeni msaidie ushauri wa haraka hapa

Katika pilika pilika za kimaisha mdogo wangu (mkristo) alijipatia binti wa imani ya kislam wazazi wake ni swala tano (5), na ameka na binti yao kwenye urafiki na mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu wa miaka mitatu takribani kiasi cha kuaminiana na kumpa binti mimba.

Binti ana mimba ya miezi saba sasa na mdogo wangu anataka kumuoa huyu binti awe mke wake kabisa kabisa kwani hapendi kuona anamtelekeza mwanamke walie pendana naye kisa imani zao tofauti

Shida imekuja kujitokeza ni kwamba wazazi wa binti wanataka dogo awe muislam ili amuoe binti yao ila dogo amesema hawezi kubadili dini yake kabisa wakuu japo binti yao anampenda na yupo teyari awe mke wake

Nime muuliza kwa upande wa huyo binti (mpenzi wake ) ana semaje yeye kasema binti hana shida yeyote shida ni yeye ana ogopa wazazi wake kuchange dini amfate dogo kwenye ukristo , ila anampenda sana dogo na yupo teyari kuwa mke wake na anampenda sana.

Dogo nae anasema tokea yupo na binti ana mfundisha na kusali na binti kwa imani ya kikristo na huyo mpenzi wake hana shida kabisa na ana furahia bila shaka yeyote

Ndugu wana Jf kwa imani zenu na kwa kila hali sisi kama ndugu wa mdogo wetu mpaka sasa tumeshindwa kujua tuwasaidie vipi huyu kijana na huyu binti ili wawe mume na mke na waendeshe maisha yao kwa amani na baraka tele kutoka kwa wazazi wa pande zote pamoja na huyo kiumbe aliye tumboni kwa mwanadada pindi atakapo zaliwa.

Nimekuja hapa kuomba mawazo yenu ya hali na mali kuwasaidia hawa vijana walio ingia katika utata huu wa kiimani katika mahusiano yao, pia ili kuwafanya wawe pamoja ukizingatia dogo hataki kabisa kufata dini ya mwanamke wake na mwanamke yupo teyari kumsikiliza dogo na kufata dini yake na kua mke wake ,shida ni wazazi wa mwanamke hapa .

Ndugu saidie huyu kijana na huyu binti wavuke hapa wakuu .

Asanteni

Hii rahisi sana.

Mwaka 2013, rafiki yangu mmoja alitaka kumuoa aliyekuwa mchumba wake, changamoto ikawa wazazi wa binti. Binti alikuwa muislamu na mshkaji mlutheri.

Wazazi wa binti waligoma mtoto wao haolewi na mkristu, mshkaji naye akagoma kubadilisha dini ila ndoa wakawa wanaitaka.

Wapenzi wakaamua kwenda pale Ilala boma, mimi nikiwa shahidi wa upande wa mshkaji, binti pia akaleta rafiki yake. Ndoa ilifungwa mbele yetu, kutoka pale tukaenda zetu hoteli moja Tabata kuwapongeza.

Mpaka leo, wanaishi vizuri sana. Wana watoto wanne na wamejenga nyumba yao kubwa na nzuri sana.

Ni upumbavu kushikia dini ambayo hata siyo ya kiafrika kama kikwazo cha maendeleo.
 
Hao wenzetu dada zetu wanaoa vizuri na wanawabadili dini vizuri tu, na wakati mwingine wanawataliki mbele ya safari. Ila kivumbi dada zao wanaona kama wanaozesha kwa mashetani, all in all mimi huwa naamini dini zote mbili zimekuja kutugawa tu na si kutuweka karibu na Mungu maana tunavyotazamana kwa imani zetu wakati wote pua zetu pana, hawa wanaona mwarabu ndo ndugu yake na wengine wanaona waisrael ndo ndugu zao..... Maskini sie tumepotoka mpaka inatia huruma, ukimkuta mtu anavyouzungumzia uislam/ukristo utasema ni asili yao kumbe waliwaletea ili iwe rahisi kuwatawala. Angalia china na india ni mataifa yenye imani zao lakini na wenye maendeleo sana na wasio na kuyumbishwa, Mungu yupo ndugu zangu, lakini kila mtu alikua na njia yake ya kuwasiliana nae

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu tuwasaidiaje hawa wapenzi waweze kuwa kitu kimoja maana dogo kasimamia msimamo wake hawezi kubadilishwa dini na mwanamke ?
 
Hii rahisi sana.

Mwaka 2013, rafiki yangu mmoja alitaka kumuoa aliyekuwa mchumba wake, changamoto ikawa wazazi wa binti. Binti alikuwa muislamu na mshkaji mlutheri.

Wazazi wa binti waligoma mtoto wao haolewi na mkristu, mshkaji naye akagoma kubadilisha dini ila ndoa wakawa wanaitaka.

Wapenzi wakaamua kwenda pale Ilala boma, mimi nikiwa shahidi wa upande wa mshkaji, binti pia akaleta rafiki yake. Ndoa ilifungwa mbele yetu, kutoka pale tukaenda zetu hoteli moja Tabata kuwapongeza.

Mpaka leo, wanaishi vizuri sana. Wana watoto wanne na wamejenga nyumba yao kubwa na nzuri sana.

Ni upumbavu kushikia dini ambayo hata siyo ya kiafrika kama kikwazo cha maendeleo.
Baada ya hilo wazazi na ukoo wa binti walimtazamaje binti yao mkuu, je, hawaku wasumbua tena mkuu?
 
Back
Top Bottom