Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

Atukuzwee

Senior Member
Aug 6, 2017
113
211
Niende moja kwa moja kwenye mada nasjisikia uchungu sana ingawa yalishapita.

Ipo hivi mwaka huu tarehe 26 january nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT plaza , ila sasa hivi kashamaliza juzi chuo , alionyesha kunichangamkia basi na mimi nikajiongeza nikamuomba namba nikapewa bila shida kabisa.

Tukawa tunachati tuu fresh kabisa nikamwambia jambo langu kua nampenda akanikubalia basi banq mwezi wa 3 mwaka huu tukawa wapenzi Rasmi.

Mwezi wa 5 mwaka huu akaja geto nikaaa nae almost siku 5 badae akaondoka sikuona dalili za usailiti kabisa nikaendelea kunpenda mwezi wa sita akaniambia niende posta nikamsalimie kidume nikaenda na zawadi zangu demu akanipoke tuu vizuri.

Kumbe mimi sikushtuka alikua na wenzake na walikua wamejibana mahali mimi niko na demu baadae nikataka kuondoka demu akaniambia nikawasalimia marafiki zake nikaenda nikawasalimia nikawanunulia na wine na chakula hyo nikasepa na demu akanisindikiza nika reqest bolt nikasepa.

Siku 3 mbele nikaaanza kuona mabadiliko nikawa nakausha tuu from no where demu akaniambia tuachane nikamuambia kwa nn akaniambia nimeamua basi nikamuambia nimekubaliana na maamuzi yako penzi likafa rasmi..

Tokea mwezi wa sita demu akaanza kunitafuta mwezi huuwa kwamba eti turudiane anaomba msamaha anadai marafiki zake walimuambia siendani nae eti na blaha blah nyingi ila yeye ananipenda hapa ndo sijui nimjibu nini wakuu.

Nifanyeje wakuu demu ni mzuri haswa na mm bado nampenda ila tatizo nina mahusiano mengine.
 
Demunzuri kwako wengine wataona wakawaida tu km unampenda na yeye kakupenda endelea nae
 
Hiyo ni kazi rahisi sana. Uliyenaye endelea kuwa nae. Ila huyo aliyejileta mfanye mchepuko na usimchukulie siriazi.
20231006_080459.jpg
 
nilikutana na demu mmoja mkali sana anasoma IFM mimi nilikutana nae jengo la IT plaza.
.

mwezi wa sita akaniambia niende posta nikamsalimie kidume nikaenda na zawadi zangu demu akanipoke tuu vizuri.

akaniambia nikawasalimia marafiki zake nikaenda nikawasalimia nikawanunulia na wine na chakula hyo nikasepa na demu akanisindikiza nika reqest bolt nikasepa..
kUmbe akina INSIDER MAN mko wengi hum ndani..
Oya akanyambasira njoo na timu yako mtoe mwongozo
 
Back
Top Bottom