Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Walianza leta sababu za ukame na mabwawa kukauka,Leo hii mvua Hadi za mafuriko ila mgao is the worst,wikiend yote mmekata nkadhani leo jumatatu mtatuachie tufanye kazi Ili tulipe Kodi mueze...
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Waache wazeeke kwa upendo uleule waliokulea nao. Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara...
20 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakati nahamia mtaani ninapoishi nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili nilimkuta jamaa jirani yangu nae anaishi na mkewe na mtoto wao mdogo wa mwaka miaka miwili hivi, wakati huo mke...
18 Reactions
47 Replies
14K Views
Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Usiwe na maamuzi ya pupa kisa njaa unakula chochote unachokiona mezani hata kama hakifai. Wapo watu wanaangukia katika mahusiano na mtu asiyesahihi au asiye chaguo lake toka moyoni kisa kujiona...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Huyu jirani yangu tunaheshimiana sana yaani katika watu safi hapa kitaa ni huyu jirani yangu, maisha safi Hana njaa na ni mtu tunapeana advice ya hapa na pale yaani Kwa kifupi jamaa ni mtu mmoja...
22 Reactions
140 Replies
17K Views
Habari wakuuu, ninaona jumapili inatupungia mkono magharibi inakaribia. Dada wa rafiki yangu ninamuona kama dada yangu. Twende kwenye mada Huyu dada aliolewa na jamaa mmoja maarufu kwa jina...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu.. Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita. kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani...
21 Reactions
118 Replies
9K Views
Katika siku za hivi karibuni imekuwa ngumu sana kumfariji mpenzi wako pale anapokwambia hayuko sawa na ukimuona haumwi maana wengine huwa wameuziwa na wapenzi wao so asipokupa sababu genuine una...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapo vip!! Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima. Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k Ninachoamini Furaha kubwa katika...
5 Reactions
6 Replies
593 Views
Wakuu mulibwanji? Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto...
34 Reactions
184 Replies
15K Views
Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kwani nyie huwa mnatumia mbinu gani kuwakimbia wake zenu,maana mi huyu shemeji yenu anakaba hadi penati kila niendapo naye yupo huyu hapa kama mkia,nimejaribu kumtoroka mara kadhaa...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao Imeibuka tabia...
1 Reactions
15 Replies
853 Views
Huwa siwaamini kabisa kwenye kila kitu sijui kwanini Hasa hawa wanaovaa dela au kijora upande mmoja unashikiliwa na sidilia bega wazi ukifanya masihara UTI Sugu nje nje Wengi huwa kama...
14 Reactions
93 Replies
6K Views
Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na...
11 Reactions
98 Replies
9K Views
Habari zenu Wakuu, Kwenye pitapita zangu Jf nikakutana na mdau akimshauri jamaa aliepigwa tukio na Mwanamke wake wa ndoa, na moja ya ushauri aliompa huyo alietendwa ni "PENDA KWA KIASI USIPENDE...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Dear friends! Nimejiuliza muda mrefu Sana, na sipati muafaka. Imekuwa hivi kwamba mwanamke hulalamikia matendo ya waume kwenye ndoa, ama mahusiano ya kawaida kimapenzi kuwa ni wenye ubinafsi...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
I have just turned 29, Mimi ni mdada, maji ya kunde, si mfupi, siyo kibonge Wala siyo mwembamba. Kabila langu ni mrangi, mwenye degree, ni mkristo RC, I don't take alcohol, nimeajiriwa temporary...
41 Reactions
240 Replies
13K Views
Wakuu mulibwanji.. Huku mambo ni nainai tu. Hapa nyumbani kwangu kuna mdogo wake na mwanamke wangu binti mkubwa tu wa miaka 23 sasa. Alikuja huku kwa lengo la kujiendeleza ufundi baada ya kukosa...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…