Njaa isikufanye kula chochote unachokiona mezani

Njaa isikufanye kula chochote unachokiona mezani

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,589
Reaction score
6,463
Usiwe na maamuzi ya pupa kisa njaa unakula chochote unachokiona mezani hata kama hakifai.

Wapo watu wanaangukia katika mahusiano na mtu asiyesahihi au asiye chaguo lake toka moyoni kisa kujiona amechelewa / msukumo wa upweke akiona jamaa zake / au mashosti wake wote wameoa au kuolewa basi hatokuwa na subra , yeyote atakayepita mbele yake anapitanaye.

Zingatia "maswali magumu hayahitaji majibu mepesi " utakuja kunikumbuka
 
Kuna kipindi nilikuwa namuhitaji Sana mke, nikaenda kuangukia mikononi mwa tapeli mmoja single mom wa Kigoma, aisee nilipigwa ndoige moja matata hadi nikaamua kukubali yaishe[emoji3449][emoji1611]
[emoji3][emoji3] pole sana Mkuu kwa Sugunyo iliyokupata , nafuu ulifanya maamuzi ya kumpiga chini ulithamini afya yako ya akili
 
Sstori umeikatiza njiani!

Ehe ilikuaje sasa hadi ukapigwa na ndoige [emoji28][emoji441]
Soma Hapa 👇🏾
 
_20231203_150341.JPG
 
Sasa huyo uliyepangiwa utamjuaje mkuu au anakuja na bango usoni?Ushauri wangu masela watembeze ukuni huko huko tutajua mke mwema,Mimi mwenyewe napenda kula Kila samaki hasa changu.
 
Sasa huyo uliyepangiwa utamjuaje mkuu au anakuja na bango usoni?Ushauri wangu masela watembeze ukuni huko huko tutajua mke mwema,Mimi mwenyewe napenda kula Kila samaki hasa changu.
Shauri yako samaki wengine wanamiba itakukaba
 
Back
Top Bottom