Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Najua mtaona na wasumbua sana na kunichoka ila nahitaji matumaini ndani ya nafsi yangu . Sipo sawa kabisa nikiri mbele yenu. Nisaidieni mawazo nilikua na meza hadi amitrilia nimebadilishiwa na...
7 Reactions
68 Replies
3K Views
Unakuta kijana wa kiume yuko na wapenzi si chini ya wawili lakini haachi kujichukulia sheria mkononi (Kujichua) Je, ni kwamba anakua haridhiki anapofanya ngono na mwanamke wake au mwanaume wake...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu, Kwanza ningependa kuipongeza Serikali yetu kwa kufungia wavuti (Websites) za ngono japo kuna watu wanaangali kwa VPN. Wakuu mkiangalia jamii yetu kwahivisasa inazidi kuporomoka...
12 Reactions
88 Replies
16K Views
Habar wana JF Nakerekwa na baadhi ya tabia za watu kuhisi wao ni perfect kuliko wenzao Inashangaza sana Watanzania, mtu yupo kwenye mtandao wa kijamii tena kwenye Jukwaa la Mahausiano na zaidi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita...
13 Reactions
189 Replies
10K Views
Habari ya maandilizi ya sikukuu, Kuna hii tabia ya mabinti tena wadogo kwenye early 20s wakipata tu vikazi hata iwe saluni au mgahawani wanakimbilia kupanga ili wajitegemee. Kusema kweli hii...
30 Reactions
134 Replies
6K Views
KAZI YA WANAUME – KUTAFUTA: Sehemu ya I Wanasayansi wanasema na ndivyo ilivyokusudiwa na Mungu. Mwanaume Adamu aliwekwa bustanini Edeni ailime na kuitunza (Mwa 2:15). Hata yeye na mkewe Hawa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau hii nimeisikia toka redio Times fm, kuna jamaa ametupia kama neno zito la leo! Wakati natafakari kuona kama kuna ukweli wowote, sijui ninyi mnasemaje wakuu?
0 Reactions
98 Replies
15K Views
Wakuu mulibwanji, huku mambo ni mwagalayoo. Kuna thread nliandika humu kuhusu mdogo wa mwanamke wangu, binti aliomba aje ajiendeleze ufundi kwamab kwao hana wa kumsaidia. Nikatuma nauli akaja...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hizi mvua na hizi baridi baridi, sizielewi elewi kabisa, hii ni hatari kabisa kwa afya ya binadamu, hasa kwa wale wote walio singo; kwangu uzalendo umenishinda kabisa, naamua kufanya maamuzi...
4 Reactions
10 Replies
745 Views
Inafikirisha unapokuta mtoto anakosa heshima kwa dada anayemlea na kukaa naye nyumbani pale wazazi wanapokuwa kazini. Na mara nyingine mzazi anaona ni sawa tu na wala hamkemei mtoto wake kwa tabia...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukihitaji salamu nenda Tanga kwa waswahili,kwangu m-bara utaambulia pumba ukalishie vitimoto! Wanawake sijui nini kimewakumba masikini! Aisee nina mwanake wangu mmoja kigoli pisi kutoka pande...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
WANA JAMVI HABARI ZENU! Ninachokiandika hapa ni ukwel 100% na imenitokea mm hapa mwenyew wala sio hadithi ya kusimuliwa na m2!! TUANZIE HAPA. Mnamo mwaka 2015 nilihitim elim yangu ya kidato cha...
12 Reactions
175 Replies
22K Views
Kila mtu na mapenzi yake apendayo. Kila mtu na malengo yake kwenye mahusiano. Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni jambo la kawaida, pia ni vyema afanye hivyo. Lakini inategemea maamuzi ya...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta...
36 Reactions
425 Replies
20K Views
Habari zenu wana jamvi,natumaini mko salama salimini kwa kudra za muumba wetu. kuna baadhi ya wanaume mishipa ya aibu ilishakatika kabisa ikabakia kwenye dushelele zao tu,kuna bi shostito mmoja...
12 Reactions
144 Replies
14K Views
Je, Mahusiano gani mtu anatakiwa kuwa na familia yake? Kwa kutumia akili timamu mahusiano yote yanatakiwa kuwa kama ya mfanyabiashara na kanuni za biashara kwa maana yatushirikiane na watu kwa...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Ni matumaini yangu mmependelewa kuiona siku ya leo mkiwa na nguvu na matumaini mapya ktk maisha. Kama mjuavyo hali ya maisha imepanda sana kiasi cha kuumiza vichwa vya watu wengi,hasa pale...
18 Reactions
190 Replies
19K Views
Hellow J F Mimi ni mwenyeji wa Musoma hukoo ndani ndani nimesoma sifa nyingi nzuri na nyingine hasi kutoka kwa mabinti wa Kaskazini mwa Tanzania, ila kwangu napenda changamoto niunganisheni na...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Walianza leta sababu za ukame na mabwawa kukauka,Leo hii mvua Hadi za mafuriko ila mgao is the worst,wikiend yote mmekata nkadhani leo jumatatu mtatuachie tufanye kazi Ili tulipe Kodi mueze...
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Back
Top Bottom