Huyu ndugu ni moja kati ya ndugu walio zifumania pesa. Basi bana kutokana na pesa zake kuwa nyingi jeuri na ujuaji vikaongezeka na maneno na majigambo ikawa ndio sehemu yake ya maisha.
Ila pamoja...
Bila shaka hawa wana mapenzi ya Kweli na hata Mungu ametusisitizia kuwajali wajane, kama kuna mjane asizidi miaka 40 namuomba inbox tujaliane, Mahusiano yakikaa vizuri awe tayari kupima Afya...
Sasa naelewa kwanini zamani wazee wetu walikuwa wanarudisha wake zao wakajifungulie nyumbani kwa wazazi wa mke baada ya kuwa wajawazito.
Jamani mama vijacho wana visa kwa wiki ananuna hata mara...
Pale unapotaka kujua huyu niliye nae je ni muaminifu au ndio wale wale ili ujue unaishina mtu aina gani ili ujipange kisaikolojia kwa maana ukimjua utapunguza maumivu na mwisho ujiue andaa...
Kwenye pitapita zangu JF nikakutana na Uzi unaosema "kipi kilisababisha uachane na mwenza wako wa maisha".
Aisee! Ukiusoma ule uzi utagundua kuwa watu wanao oa/kuolewa ni Option tu na sio kwamba...
Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha...
Hata kama wewe ni mkali na una mahasira hasira.
Hii kitu ina raha yake, ukipiga uso unakuwa na furaha moja kwa moja.
Watu wengi tulioko Bar tunafuraha sana kuliko watu walioko maeneo mengine...
Naomba wajuzi mje mniongezee hekima hapa kidogo uwenda yangu imepunguka..
Katika jamii zetu kuna vijana ambao wanafanikiwa kujipatia kipato na kuanza maisha...
Katika utafutaji inaweza kuwa...
Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia...
Baada ya kuwa na mahusiano na mwanmke flan kwa miaka mi 4, baadae akaja kubadilika baada ya kupata kazi, inshot mm ndio nilikuwa na muweka mjini,
Nimtoa kjjn na kumeltaa, mjini nikamuandliaa...
Mapenzi ni sawa na maji ya mafuriko,
Huwezi kuyazuia kwa mikono,
Niliwahi kuumizwa sana na binti niliyempenda sana.
Niliumia kwasababu ulifika wakati hawezi kuwa wangu tena kutokana na mazingira...
Sababu kubwa ni 2 tu.
1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi...
Habarini
Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi.
Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo...
Huyu mzazi anaharibia watoto wake uzao alianza binti mdogo akapata bwana wakawaida tu huyu mama akamfukuza basi akaletewa tajiri tena wamadini akamfukuza akisema amekuja kumtoa sadaka na familia...
Habari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji...
Ndugu zangu Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na rehema tunaomba utusamehe sisi wanadamu napia tunawaleta kwako ndugu zetu wa mkoani Manyara-Arusha wa kule hanang, Mungu endelea kuwa rehemu na...
Natarajia kuvuta jiko mapema mwakani matarajio yangu ni kuwa na ndoa yenye furaha na ambayo kifo pekee kitatutenganisha sio jambo jepesi ila ndio mipango niliyojiwekea na mwenzangu.
Sasa katika...
Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao.
Kuna muda ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.