Ubinafsi katika ndoa! Ni Nani hasa baina ya ME na KE?

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Dear friends!

Nimejiuliza muda mrefu Sana, na sipati muafaka.

Imekuwa hivi kwamba mwanamke hulalamikia matendo ya waume kwenye ndoa, ama mahusiano ya kawaida kimapenzi kuwa ni wenye ubinafsi. Mwanaume hujali hisia zake tu! Mwanaume hujali matamanio yake tu, na kutaka maisha yaende kwa mtazamo wake tu!

Kwa mwanaume hali kadhalika! Wanaume kwenye vikao vyao ni kuwasema wanawake kwamba ni wabinafsi!
Mwanamke hujali hisia zake tu, na matamanio yake tu!

Dear friends, iwapo yupo mwenye kulifafanua hili kwa weledi, naomba aweke nondo hapa vizuri! Je, nikweli Kuna jinsia Ina ubinafsi zaidi? Au kila mtu ni mbinafsi hivyo athari ya ubinafsi ya mmoja inajitafsiri katika kumjudge mwingine?

Naomba kuwasilisha!
 
Sisi wanaume ndiyo tuna makosa. Tumekuwa tukiwapa wanawake thamani kubwa ambayo hawana, ndiyo maana Huwa wanaamua kutusumbua na kutuletea ubinafsi wa kishamba
 
Back
Top Bottom