Imekuwa ngumu sana

Katika siku za hivi karibuni imekuwa ngumu sana kumfariji mpenzi wako pale anapokwambia hayuko sawa na ukimuona haumwi maana wengine huwa wameuziwa na wapenzi wao so asipokupa sababu genuine una mpa pole na maisha yanaendelea
Mpenzi wako akikuambia hayuko sawa lazima mpenzi wake atakua kuna kitu amemfanyia. Kama unataka kuthibitisha hili subiri siku awe sawa kama atakua na time na wewe .

Sahivi tunaishi humo humo majibu ya kiutu kwa maisha ya sasa ni pole au sina

Inategemea na mazingira
 
Labda unahisi mpo wengi, labda una mapunguf ndio maana unahisi unasaidiwa, labda unahisi hupendwi, labda hujiamini.

LABDA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Labda zako zote Zina make sense and it's okay sometime to have those mixed feelings
 
Mpenzi wako akikuambia hayuko sawa lazima mpenzi wake atakua kuna kitu amemfanyia. Kama unataka kuthibitisha hili subiri siku awe sawa kama atakua na time na wewe .

Sahivi tunaishi humo humo majibu ya kiutu kwa maisha ya sasa ni pole au sina

Inategemea na mazingira
Uko sahihi kwa Sasa watu hupumzika kwako wakingoja ndoto zitimie zisipotimia haya unakuwa umepata mtihani wako wa kuishi nao
 
Back
Top Bottom