Wazazi Wanapozeeka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Waache wazeeke kwa upendo uleule waliokulea nao.

Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara nyingi walikuacha ushinde hata kama hukustahili ushindi .

Waache wafurahie marafiki zao, wazungumze na wajukuu zao... Waache wafurahie kuishi kati ya vitu ambavyo vimeambatana nao kwa muda mrefu, kwa sababu wanateseka wakati wanaona kuwa vipande vya maisha yao vimeng'olewa.

Waache wafanye makosa, kama ulivyofanya mara nyingi... Waache waishi na kujaribu kuwafurahia kwenye sehemu ya mwisho ya safari yao, kama vile walivyokushika mkono ulipoanza yako.

Wape support wafikie mwisho mwema! Watakuwa walinzi wako kiroho kwenye ulimwengu usioonekana watakapokuwa ni roho mautini nje ya mwili uharibikao..

FB_IMG_1701535703270.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache wazeekr kwa upendo uleule waliokulea nao.

Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara nyingi walikuacha ushinde hata kama hukustahili ushindi .

Waache wafurahie marafiki zao, wazungumze na wajukuu zao... Waache wafurahie kuishi kati ya vitu ambavyo vimeambatana nao kwa muda mrefu, kwa sababu wanateseka wakati wanaona kuwa vipande vya maisha yao vimeng'olewa.

Waache wafanye makosa, kama ulivyofanya mara nyingi... Waache waishi na kujaribu kuwafurahia kwenye sehemu ya mwisho ya safari yao, kama vile walivyokushika mkono ulipoanza yako.

Wape support wafikie mwisho mema! Watakuwa walinzi wako kiroho kwenye ulimwengu usioonekana watakapokuwa ni roho mautini nje ya mwili uharibikao..

View attachment 2831631

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother mbona una nondo mno? Why?
 
Waache wazeekr kwa upendo uleule waliokulea nao.

Waruhusu waongee na wasimulie hadithi tena na tena kwa subira na shauku ile ile waliyokusikiliza ukiwa mtoto. Waache wawe washindi, kwani mara nyingi walikuacha ushinde hata kama hukustahili ushindi...
Hapo ndipo malipo na pa kupokea baraka tele Asante kwa neno la busara.
 
Back
Top Bottom