Mimi naamini mwanamke anaweza kukukataa kabisa na mkaendelea kushirikiana tena bila changamoto yeyote.
Fikiria mko ofisi moja ,mnafanya biashara pamoja,mnasali pamoja, mnasoma pamoja n.k.mtu...
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.
Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao...
Ndugu zangu wana Jf.
Kuna tabia ya wanawake kutupiga mikwara sana na kututishia kutuacha pindi tunapokua tunawapima kama ni wife material au laha hasha,
wamekua wakituambia haya kama njia za...
Ndoa n jambi jema sana.
Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana.
Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa.
Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha...
Kuna binti rafiki yangu kamuelewa anataka kwenda kwao kujitambulisha! Binti Mnyamwezi anaishi na wazazi wake hapa Dar!
Akiandaa laki 5 za kufunguliwa mlango/mkeka zinatosha au dharau?
Siku moja, wanangu watakapokuwa na umri wa kutosha kufahamu kile kinachomsukuma mzazi, nitawaambia....
Niliwapenda kiasi cha kuwasumbua kuhusu mlikokuwa mmeenda, watu mliokuwa nao na saa ngapi...
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la singo mama, wanawake ambao wapenzi wao wamewazalisha kisha wamewaacha, wengine wana mtoto mmoja, wawili mpaka watatu. Lakini pia siku hizi kumekuwa na vijana...
Hawa ni wale mnaishi pamoja kama mtu na mkewe lakn hamjafunga ndoa na sio hawa wa ingia toka (one night stand).
Hawa bana ukishawabadilisha wawili watatu utaishia kuona hamna jipya chini ya jua...
Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu.
Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale...
Habari zenu.
Kiufupi, Kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu maisha ya sisi vijana, haswa tuliopo kwenye age ya 20-30, nahisi kuna kitu hakipo sawa, either kwa upande wangu au kwa upande wa...
Wakuu mko poa lakini.
Niwape story kdgo.
Kuna demu nimefahamiana nae miez 4 nyuma,tulikutana sehemu moja hivi ikiwa ni katika harakati za kutafuta maisha na mambo kadha wa kadha ili maisha...
Habari zenu.
Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa...
Mazee nataka mwanamke ambaye atasema tuanze chini kwenda juu. Nataka mwanamke ambaye wangu u jobless ata fuel up to the top.
Nataka mwanamke ambaye atakuwa ananikera kwa kuitisha hizo cholo hadi...
Mambo 10 Mwanaume hutafundishwa popote
1. Kama upo naye simu yake inaita hapokei anaweka silence jikatae mapema
2. Kama upo na mahusiano na mdada simu yake ina password kila kona mpaka kwenye...
Habari za wakati huu
Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;
~ Mtamu sana.
~ Anajua kupenda.
~ Amekomaa kiakili.
~ Wapo makini sana...
Natafuta mchumba. Sifa zangu: maji ya kunde, miaka 32, nina degree ya mtaani, sijaajiriwa, mfanyabiashara: sifa za mke: maji ya kunde, miaka 20-25, kidato cha nne lakini awe na taaluma ya dawa za...
Hajanikosea lolote
Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu
Nina nia ya dhati kuachana naye
Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko
Natokaje viongozi mbona kama...
Jamani WanaJF ushauri naombeni maoni yenu.
I will be 27 by November niko na mtu anaenijali Sana Sana, he loves me kwakweli lakini eti mzazi wangu hususani baba hamtaki sababu ni muisilam na...