Amekopa na kuniunganisha namba yangu ya simu na watoa mikopo mtandaoni wakati tumeachana

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.

Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao. Ila toka wiki iliyopita nimekuwa nikisumbulia sana na simu za vitisho kutoka kwa watu wamikopo wakitaka nimkumbushe huyu mpenzi wa zamani tuliyeachana naye alipe mikopo watu au nilipe mimi.

Mimi nikawa siwaelewi naona wanazindi kunisumbua na sms kibao naombeni ushauri juu ya hili wakuu

Natanguliza shukurani wakuu

IMG_20231026_155532.jpg
 
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.

Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao. Ila toka wiki iliyopita nimekuwa nikisumbulia sana na simu za vitisho kutoka kwa watu wamikopo wakitaka nimkumbushe huyu mpenzi wa zamani tuliyeachana naye alipe mikopo watu au nilipe mimi.

Mimi nikawa siwaelewi naona wanazindi kunisumbua na sms kibao naombeni ushauri juu ya hili wakuu

Natanguliza shukurani wakuuView attachment 2793796
Waahaambiwa kwenye vikao tumieni majina ya wanaume wao kwenye kuchukua mikopo. Inaruhusiwa kisheria.

Tutakoma mwaka huu
 
Yaani huyu mwanamke sijui anataka nini kwangu. Tumeachana ila kaona haitoshi kamua kuniunganisha na watoa mikopo mtandaoni.

Sizijui hizi kampuni za mikopo mtandaoni jinsi zinavyofanya kazi zao. Ila toka wiki iliyopita nimekuwa nikisumbulia sana na simu za vitisho kutoka kwa watu wamikopo wakitaka nimkumbushe huyu mpenzi wa zamani tuliyeachana naye alipe mikopo watu au nilipe mimi.

Mimi nikawa siwaelewi naona wanazindi kunisumbua na sms kibao naombeni ushauri juu ya hili wakuu

Natanguliza shukurani wakuuView attachment 2793796
Hatari sana
 
Back
Top Bottom